I feel u ab-titchaz. And u are very right kubwajinga. Cities along coast have greater potential than inland cities. Dar has a bright future only dont centralise kila kitu kama nai. So u get several important citier like SA.
Mnairobi achana naye huyo...keep it up....i would expect this guy to be mtanzania and come up with beautiful pics of Dar! can he do that? wewe mjomba unayepiga madongo Nai hata camera unayo lakini? acha bifu! kama ulikuja Nairobi ukakaa mahoteli ya uchochoroni hayo matatizo yako! ila u cant compare nai na dar hata kidogo!
Hey you,usiwe kama hauelewi. i am not comparing Nai with Dar. Nairobi pamejengeka na kuendelea zaidi kuliko Dar. I was just suprised to see the guy is trying to show that, Nai iko juu sana. ndo maana nilikuwa namwuliza kuwa anaifananisha na mji gani mwingine? kwasababu kwa watu ambao tumetembea miji mikubwa mingi, Nairobi tunaiona kama kijiji fulani hivi. chaajabu,ninyi wakenya mnaiona ndo penyewe. ndo maana nilikuwa namwuliza uyo jamaa katembea miji mingapi?asije akafikiri dunia yote iko kama nairobi,atakuwa amepotea. Pili, mimi nikae hotel za uchochoroni au sio uchochoroni hiyo haikuhusu. kama nimetembea ulaya na nikakaa hotel kubwa za Europe na America, vihoteli vya Nai ni nini?nikikaa hotel yoyote ile kwangu zote ni sawa tu.hazina tofauti yoyote. ninakaa sehemu ninayopenda. ila ukweli ndio huo. tembeeni miji mingine muone. nai is nothing kabisa.
Kwa Maoni yangu sidhani kama maendeleo ni Majumba mazuri ama magari mazuri, maendeleo ni pale kunapokuwa na usawa katika nyanja zote, kunapokuwepo na huduma zote muhimu za kijamii kama Afya , Elimu and so on ! ninapoongelea usawa ninamaanisha kuanzia Ugawaji wa mali na madaraka, wananchi kushirikishwa katika masuala nyeti yanayohusu nchi yao, Uhuru wa kuchagua na kutoa maoni.
Tukiweka uongo mbali Wanachi wa Kenya ni wachapakazi hasa, bila mfano, nimekwishapita kenya mara kadhaa nikitokea Dar es salaam , nimejionea mengi , shuguli za kilimo n.k ,pia Askari wa Kenya walikuwa wakitusimamisha kila baada ya kilometa chache, at least more than 10 times! Kwa nini? it is perspective of their Leaders, ninadhani!
Nairobi ni part ya Kenya pia! mimi ninasema Wakenya hayo wanayoyaita maendeleo ni kujidanganya nafsi zao tu, hakuna usawa wowote ule katika nyanja zote, Raila aliposhinda uchaguzi tuliona yaliyotokea, Pia Vilevile Viongozi Kujinyakulia mali kwa wingi, mfano Ardhi na kuwaacha Wananchi wakitoa roho ndungu zao!, na Serikali wanatumia mbinu ile ile ya makaburu kuwachonganisha Wananchi , ya kwamba ''Unalala njaa kwa sababu ya Ndugu yako!'' na kama wewe ni dhaifu kweli utakwenda na maji, Hivyo mimi sidhani kama huo mfumo wa kiuchumi waliouchukua ni sahihi, pia watoto hawa hawa tunaowaita Machokoraa ndio Taifa la Leo la Kenya na pia wanajifunza kutoka kwetu wazazi, hivyo kama tukiwafundisha utapeli na njia za mkato tutakiona cha moto, Nairobi na Kibera hakutakalika, tuwaiteni Machokoraa kwa sasa kwa vile nafasi ya kutosha tunayo, then it comes time when the Weaker will start fighting for his surviving! subirini ! nawaambia ipo siku mtasikia Vita vya Kikabila huko Tarime, Subirini tu!
Stop hatin' ....
Unaangalia mabaya kama wazungu? Haya pia ni maendeleo na huwezi kupinga hayo. Mazuri ni muhimu kwa motivation hayo mengine wanajaribu kuyarekebisha.
Unajua wakati mwingine tunatakiwa tujikubali sisi wenyewe kama tulivyo, ninamaanisha spiritualy and physical! na maendeleo tutayaona, ni lazima tukubali kwamba we have very long way to go through! ni Maskini !ninamaanisha tuachane na mambo ya blackman in a white face.
Una maana kwamba kama una njaa utakula Jumba ?? or what are you up to?!
Dawa ya tatizo si kulikimbia, hata siku moja!
Oh my goodnes who said nai doesnt have problems or that kenya does not have problems. Cant people for once just appreciate the positive side of us as africans and black people. Man we are always attacking each other. 'kenyans are thieves tribalistic animalistic, most of them are poor. Tanzanians sijui are slow stupid' or whatever, jeez. Africans are always attacking each other instead of helping each other, we would rather import potatoes from europe than from each other. No wonder blabk people and africa will always be backward. Europe is working together so is asia and the americas, but for as no we still cling on our little pennies that even the kawaida citizen doesnt ever see. Then there is this kidzogole guy here who is sooooooooo proud of western cities that he and his people had nothing to do with their building, i always laugh when i read his posts. It just hilarious and people say its the kenyans that are brain washed. Loool. Ati u cant compare nairobi with sijui zurich, man u remind me of Ame and Zidi it the book Amezidi if anyone has read that play. Im sory just had to get that off my chest.
Taratatibu tu tutajenga taifa la waafrika lililoungana na lenye nguvu ya kutosha.