Nairobi bus blast 'caused by Tanzanian with grenade'

na wamenyamaza kimya...au "wanachunguza waje na tamko rasmi?"
viognozi wa bongo bwana?kazi kuchakachua kura na kututwisha mizigo ya umeme

tuna kazi na hii nchi,kama Gbagbo
 
jina tu linatosha kusema jamaa aliyelipua bomu sio mtz, huyo police commisoner wa kenya anatakiwa kutoa vigezo vingine kuthibitisha ni mtz.
asijifanye ajui kuwa huko Kenya maofisa wao pia wanauza passport kwa wa somali na wahindi...kenya kunanuka rushwa pia,ila kwa vile kenya na Tanzania ni maadui wa jadi, kenya laways looks for ways of victimising Tanzania. mfano mdogo tu ona jinis wanavyotangaza dunia zima kuwa mlima Kilimanjaro, Ngorongoro creator na Serengeti upo kwao.......wanafanya watalii wengi wapitie kwao kuona mt. kilimanjaro na vivutio vingine vya taifa. Mpeni sifa Yesu ninakubaliana na point yako..............wailete passport wangalie kama kwenye database ipo.
jamani ishu ya kipande au vitambulisho khaaaaaaaaa.......sijui vitashugulikiwa lini...vimeongelewa muda lakini no signs ...............
 
Mie naasilimia 99.99999999999 huyo si mtanzania, harafu Jonh ajilipue kwa lipi? kwi kwi kwi huyu Jonh kwanini azunguke apitie nairobi wakati kuna jia rahisi kabisa isiyo na uchunguzi wowote mwanza->kemondo->kyaka->kampala. Hii njia ni rahisi mno kuliko kupitia kwa ma thugs(polisi wa kenya).

Waache kuchafuana, siasa za kenya bwana.
 
By Dominic Wabala dwabala@ke.nationmedia.comPosted Tuesday, December 21 2010 at 21:00

Police on Tuesday identified Albert Olando Mulanda, a 35-year-old Tanzanian, as the bus bomber who injured 41 people in a grenade attack on Monday night.

Mulanda, the only person to die in the incident, entered the country through Oloitoktok on October 23, using temporary pass number 0903962, Commissioner of Police Mathew Iteere said on Tuesday.


Police insist that Mulanda acted alone and not as part of a larger group as earlier thought. Witnesses had described the attack as having been carried out by three people, others by as many as seven men.


Mulanda's fingerprints have been sent to the Tanzanian National Registration Bureau for confirmation of his identity. His body is at the City Mortuary.


The explosive device has been positively identified as a Russian-made F1 hand grenade, believed to have originated from a neighbouring country and similar to another which blew up in the Embakasi District Commissioner's Land Rover in Eastleigh Section III on December 3.

Explosions

Police are linking the explosion in Nairobi's River Road targeting Kampala Coach to two other grenade explosions in the city earlier in the month and the discovery of 26 detonators on a bus in Uganda later.


Detectives are now trying to trace local and international mobile phone numbers found in a notebook recovered from the suspected bomber's pockets.


"We are in the process of checking the contents of the notebook, but it seems that the grenade was destined for Uganda," Mr Iteere said.


Investigations into the two grenade attacks in Eastleigh and Kasarani have since established that the two suspects who were shot dead by police after killing two traffic police officers at the Roysambu roundabout had entered the country three days earlier in the company of two others.


Information obtained from their seized mobile phones included an SMS message with the registration number of a vehicle.

Kenyan police forwarded the registration number to Ugandan police who intercepted the bus in Uganda and recovered 26 detonators destined for Kampala.

Mulanda, booked on seat number F4, is now the only person the police are confirming as having died though on Monday night, they had released information that a woman had been declared dead on arrival at the Nairobi Hospital.


On Tuesday, police commended the Kampala Coach security personnel for thwarting the terror plot.
Daily Nation: - News |Police identify main suspect in bus blast
 
A bomb explosion at a bus station in Nairobi was caused by a grenade carried by a man believed to be Tanzanian, Kenya's police commissioner has said. Mathew Iteere said the suspect had been boarding a bus to Uganda but became nervous due to security checks, causing him to drop the grenade.
The man is believed to have been one of the three people killed in Monday's blast, which wounded 39 others. Ugandan police have said al-Shabab militants may be linked to the attack. Hours before the attack, Uganda's police chief warned of Christmas terror attacks by the Somali Islamist group.

Al-Shabab in July said it had carried out twin bomb blasts in the Ugandan capital, Kampala, in retaliation for Uganda's support for Somalia's government. "We have confirmed that it was an act of one person and this is the person who died in the incident. We are yet to gather if he was working with other people," Mr Iteere said at a news conference. "In these incidents which have happened, we have found that most people perpetrating this type of crime are people who have recently converted to Islamic faith. These are the people who have been radicalised and indoctrinated," he said. The commissioner added that the grenade was similar to one which killed a policeman earlier this month in Nairobi.

'Nervous'
Ugandan police said there was reason to believe al-Shabab were involved, and said they were stepping up security at border points with Kenya and Sudan. "We believe there's a connection between the threats we're getting from al-Shabab and other al-Qaeda affiliated groups and the attack in Nairobi," Uganda's top police officer, Inspector General Kale Kayihura, said. The blast on Monday night smashed the windows of the Kampala Coach vehicle, and left blood stains and scattered bags on the ground nearby. Most of the wounded were Ugandans travelling home for Christmas, Red Cross official Nelly Muluka told the Associated Press.

The BBC's Will Ross in Nairobi says the explosion might have been on a small scale but it has certainly made people nervous as they set off for their Christmas leave across the country and the region.
Al-Shabab has in the past threatened to attack Kenya because of its support for Somalia's weak, UN-backed government.

Source: BBC UK
BBC News - Nairobi bus blast 'caused by Tanzanian with grenade'

Confirmed that the guy was from DRC and was living in Kenya on a UNHCR passport - Source: BBC "Dira ya Dunia" news, 22 Dec. 2010
 
kwani tatizo liko wapi, wao wameone kuwa anayo pass ya mtz. sasa kinachotakiwa ni mamboya ndani yetu waende kenya, wachukue zile document waje waziangalie kwenye registry ya kwetu hapa tz kama jina lake walipokuwa wanampa passport lipo kwenye database yetu hapa tz au siyo. kama wataona kuwa pass hiyo ilifojiwa, ndo utakuwa muda muafaka kubadilisha passport ili ziwe secure zaidi ya hizi za sasa, na hapohapo, wahakikishe wanaleta vitambulisho vya utaifa ili mtu awe na passport na kitabulisho cha utaifa. naona hapa ndo vitambulisho vya utaifa na passport ndo vinatakiwa kutiliwa mkazo. sijui huyu mzanzibar ambaye amepewa wizara ya mambo ya ndani ataweza lolote, naona kama bora hata masha...huyu amepowaaa? hata kuongea hajui.
Vuai anaonekana ni zaidi ya Masha
 
Nakupa tano mkuu, hakuna kabila la Tanzania lenye majina ya 'Olando Molanda' . Hawa alshabab wameamua kutumia majina ya Kizungu (Siyo Kikristo) kuficha koo na nasaba zao! Huenda JOHN10 wa humu JF ndo huyu Albert John! Wamelionea kweli jina la John!

Sasa wewe una tofauti gani na hao polisi wa kenya. Unakurupuka tu na kutoa hukumu, una ushahidi kuwa ni alshabab hao au ndio bangi zimekuzidi kichwani?
 
Mie naasilimia 99.99999999999 huyo si mtanzania, harafu Jonh ajilipue kwa lipi? kwi kwi kwi huyu Jonh kwanini azunguke apitie nairobi wakati kuna jia rahisi kabisa isiyo na uchunguzi wowote mwanza->kemondo->kyaka->kampala. Hii njia ni rahisi mno kuliko kupitia kwa ma thugs(polisi wa kenya).

Waache kuchafuana, siasa za kenya bwana.
Angekuwa hai tungemuuliza.
 
Afadhali umenisaidia jamaa limejaa Chuki kama nini sijui.
Sasa mwene chuki nani? mie ninayepinga mauaji na kutia vilema watu wasio na hatia au wewe na Gavana wako wa Torabora mnaoshabikia utamaduni wa Waarabu, ikiwemo mauaji ya watu wasio na hatia?
 
Sasa mwene chuki nani? mie ninayepinga mauaji na kutia vilema watu wasio na hatia au wewe na Gavana wako wa Torabora mnaoshabikia utamaduni wa Waarabu, ikiwemo mauaji ya watu wasio na hatia?

Ni wewe unaye-conclude kuwa aliyefanya hivyo ni al-qaeda bila ushahidi.
 
mashuhuda wanasema (through BBC online) waliona mtu akirusha kitu kutoka mbele/katikati ya basi na kuangukia nyuma kilikolipukia. Ikiwa ni kweli huyo mtazania ni mhanga tu wa tukio hilo na Nairobi polisi ni wavivu wa kufanya kazi yao.
 
Back
Top Bottom