Nairobi bus blast 'caused by Tanzanian with grenade'

Wewe kwa akili zako zisizo na moshi wa bange unaona ni sawa mtu asiye na hatia kuuliwa au kutiwa kilema bila sababu?

Na wewe kwa akili zako zenye moshi wa bangi, Unadhani ni sahihi linapotokea tukio kama hilo ku-conclude ni alqaeda waliofanya hata kama sio?
 
Huyu ni mwenzenu atakuja hukohuko church
unfortunately Albert is dead, unless hujasoma habari yenyewe

Pamoja na kwamba so far the guy is carrying a Tanzanian passport, nina wasiwasi sana na authenticity ya documents kwani watu wana majina tofauti, passport tofauti hii yote ni juu ya porous immigration yetu ambayo ilikuwa mbaya zaidi chini ya serikali ya kikwete

tumeshuhudia wageni wakipata vibali vya kazi, passport nk bila kuelewa kivipi

Tusubiri wachunguzi wa kitanzania nao watasema nini, maana lazima hiyo passport in dossier number inayoonyesha kila details zake including wazazi... hapo sasa ndio tutashangaa... it may take eternity to reveal hata hao ndugu or maybe wakenya kuja kutusaidia wakati we hvae all teh details na aliyetoa hiyo passport anajulikana sana tu
 
Hivi mbona TZ kwenye international nyuuzi tunatokea kwa mabaya tuu?? kwa nini tunaiaibisha nchi yetu jamani?? Alikuwa Ghailani kila mahali, ikaja ishu ya rada. Bado kwenye tafiti mbalimbali tunaongoza kwa huduma mbaya za afya, elimu duni na kufa kwa vichanga na wajawazito.

Nina muda sana kusoma something positive from TZ in international medias.
kwasababu ndio ukweli wenyewe....
 
Back
Top Bottom