Naipongeza CCM na Riz kwa ushindi wao

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Ilikua sio suala la kushangaza kwamba Riz moko atachukua jimbo la Chalinze cha kura nyingi sana yaani asilimia 90
hapo ndipo alipozaliwa na hapo ndipo baba alipoanzia maisha ya siasa
na ni ngome kuu ya CCM pia
cha kufurahisha ni kwamba hata wapinzani yaani CDM na CUF wanaelewa hilo na hawana tatizo nalo
Achilia mbali kuwa huyu jamaa ni Mtoto wa Mkuu wa kaya lakini ameonyesha democrasia kwa kugombea
yaani kuomba kura badala ya kupewa ubunge wa viti maalum na baba yake au chama chake
baadhi ya wadau watalalamika kwamba ni utawala wa kifalme lakini huwa wafalme hawapigi kura.

NIchukue nafasi hii adimu Kumpongeza Riz moko na CCM MUngu ibariki Africa,mungu ibariki Tz
 
hivi kwanini hawakutumia mayai viza kusambaratisha kampeni za cCM chalinze?

yani ilitakiwa katika kila mkutano wa kampeni, yanatupwa mayai kumi kwa wapiga kura...

hii nchi inahitaji mabadiliko kwa kila mbinu!!!
 
Maskini hawawezi kuleta mabadiliko watanunuliwa kirahisi.Hayo mabadiliko yanayotokea ni watu walewale ndo wanayafanya
labda itokee miujiza.kutumia mayai viza au mabomu ya machozi ni dalili kuwa pana shida hapo sehemu
 
Ilikua sio suala la kushangaza kwamba Riz moko atachukua jimbo la Chalinze cha kura nyingi sana yaani asilimia 90
hapo ndipo alipozaliwa na hapo ndipo baba alipoanzia maisha ya siasa
na ni ngome kuu ya CCM pia
cha kufurahisha ni kwamba hata wapinzani yaani CDM na CUF wanaelewa hilo na hawana tatizo nalo
Achilia mbali kuwa huyu jamaa ni Mtoto wa Mkuu wa kaya lakini ameonyesha democrasia kwa kugombea
yaani kuomba kura badala ya kupewa ubunge wa viti maalum na baba yake au chama chake
baadhi ya wadau watalalamika kwamba ni utawala wa kifalme lakini huwa wafalme hawapigi kura.

NIchukue nafasi hii adimu Kumpongeza Riz moko na CCM MUngu ibariki Africa,mungu ibariki Tz

Haikutakiwa kuwa pande izi hebu ipelekwe sehemu husika
 
Peleka jukwaa la siasa...agrrrrrr
 
watu tuko tunaangaika kutafuta ajira humu utatuletea thread za siasa?Hebu tutokee humu
 
Back
Top Bottom