Naipenda Tanzania

fungafunga

Senior Member
Mar 30, 2010
116
155
sina jipya ndugu zangu. nasikilizia tu jinsi nchi yangu inavyonifanyia vizuri. sukari bei chini,mafuta bei chini,kodi za nyumba kwa dola,mpaka nazi na chumvi nazo zimeshuka bei sikuizi. kweli tanzania tamu. jana nimenunua toilet paper tu 900 lol so cheap.
hongera mkuu wa kaya!!!!! na sema hongeraaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom