Naipenda tanzania

Inaonekana watu wana chakula kingi likini ni maskini na hawana raha.

Tatizo la nchi yetu ni kwamba kilimo sio biashara ndio maana siku zote wakulima wetu ni maskini na watabaki hivyo mpaka mkombozi apatikane
 
Mkombozi si kapatkana ndo maana mzigo umerudi shamban kwa ajili ya msimu ujao
Inaonekana watu wana chakula kingi likini ni maskini na hawana raha.

Tatizo la nchi yetu ni kwamba kilimo sio biashara ndio maana siku zote wakulima wetu ni maskini na watabaki hivyo mpaka mkombozi apatikane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
 
Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Ndio umemaliza kufikirisha Akili yako?
Uwazavyo wewe korosho zimeanza kulimwa na kuuzwa mwaka jana tu?
Mwenyekiti aliposema korosho yetu yote ni super yani Daraja la kwanza wafanyabiashara ndio wanatuibiaga kwa kuweka madaraja ulibisha?
Mbona munapenda watu wavitaje sehemu ya viungo vyenu na wazazi wenu......
 
Ulichukua za nn?sokon huwa unachukua hizo bidhaa afu unarudisha? Hiyo akili au matope?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ununuzi wa mzigo mkubwa una utaratibu tofauti, serikali tokea mwanzo ilisema haitanunua korosho za msimu uliopita na korosho mbovu kwa hiyo wakulima walishapewa tahathari mapema, serikali inachukua mzigo kisha inaukagua kabla ya kufanya malipo sababu wakulima wengine waliziweka korosho mbovu pamoja na korosho safi kinyemela,

Hilo ni jambo la kawaida hata kipindi kile wanunuzi wa nje wananunua, wakikuta korosho mbovu lazima zirudishwe kwenye vyama vya ushirika kabla ya malipo kufanyika
 
Inakugharimu kiasi gani kuvitaja?
Au unaona ni jambo jipya sana Ulimwengu?
 
Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Serious? Nipo Kijiji cha Katama hapa Tandahimba. Sijalipwa korosho yangu tani kadhaa kisaa naambiwa kangomba. Shamba wamekuja kukagua then wanakataa aliwezi kutoa korosho nyingi kama zangu. Dhuluma tu. Kama haujui tulivyoumizwa bora unyamaze. Natamani hata mm wanirudishie korosho yangu. Nitakaanga niuze kwa kuchuuza japo nako kuna hatari ya kutakiwa kuwa na kitambulisho. Shida juu ya shida
 
I
Ikulu inapaswa kuacha kufanya biashara. Kazi yao ni kuweka mazingira mazuri ya biashara.
 
Sio kosa lako mana hujui hali halisi ya huku kusini, ww huwezi kuuza mahindi leo halfu urudishiwe baada ya miezi mitatu waseme mahindi yako hayana ubora ww ungekubali, kawaida huku unapopeleka mzigo ghalani lazima ukaguliwe ndo upewe stakabadhi maana yake kama hauna ubora hawauchukui wanakwambia uchambue
get well soon tl
 
Sasa kama korosho mbovu sio kosa lang ni kosa la viongozi wa chama cha msingi ambao walikubali korosho isiyo na ubora.

HATUJALIPWA MPAKA LEO NA HATUNA MATUMAINI YA KULIPWA KARIBUNI ILA WANASIASA WANAPOTOSHA UMMA KWAMBA TUMELIPWA,
WAMETUCHEFUA KWELI

get well soon tl
 
Sasa nani ananunua korosho mbovu, wewe ukienda sokoni hua unanunua matunda yaliooza kisa tu unazo pesa? Utakua huna akili. Mbona hao wengine wote wamelipwa?
Porojo baada ya kushindwa kuwalipa, ehee endelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…