Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

mada zile zile za watu wale, wakilala wanawaza Chadema, wakiamka chadema, wakibadili kidogo utasikia dr slaa, mara mbowe, badilikeni mnabowa
 
Najua ukijiuliza kwanini NCCR hawatafutwi na kukamatwa hovyo ungejua ni kwanini haya yanatokea. Mafisadi mkikosa la kufanya ndio maneno yenu. Huna lolote wewe na wenzako wakina Mwigulu nchemba.
Mkuu, uwe unasoma post na kuielewa kabla ya kukimbilia kujibu!
 
[h=2]huyu ndio josephine mushumbusi, FIRST LADY MTARAJIWA[/h]

quote_icon.png
By Josephine

haya hapa chini ni maneno yake mwenyewe mtandaoni....

"hongera watakatifu.
akili zilizoganda, wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu."

uko sahihi sana.hawajui siasa,kwao vurugu ndiyo njia ya kuingia ikulu,wameshindwa kutafsiri vizuri yaliyotokea nchi za kiarabu
 
Kama huna hoja tafadhali nenda jifungie choo cha kituo cha mabasi hapo ulipo uendelee kutafakari maana naona huna hoja zaidi ya uharo.
 
huyu ndio josephine mushumbusi, FIRST LADY MTARAJIWA

quote_icon.png
By Josephine

haya hapa chini ni maneno yake mwenyewe mtandaoni....

"hongera watakatifu.
akili zilizoganda, wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu."

Haya ndio mambo yanayonikera ndani ya chadema,

Ukiingia chadema hakuna tofauti na kuingia choo cha bar ya matapu tapu, kuna harufu mbaya sana ya matusi
 
Haya ndio mambo yanayonikera ndani ya chadema,

Ukiingia chadema hakuna tofauti na kuingia choo cha bar ya matapu tapu, kuna harufu mbaya sana ya matusi

Si uhame tu? chadema haitakufa sbb ya sisimizi kama ww, Chadema ni taasisi cyo mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom