Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Rafiki wa mama naomi alimkaribisha kumbe naye wale wale marafiki wenye wivu.. kaanika kila kitu nje kwa watu..
Yaani wanawake mnauwana wenyewe....
1. Asipozimwaga Siri zako nje basi....
2. Atakushauri usikubali nawe chepuka au kaanze maisha yako binafsi

Niwaulize wanawake wote ndani na nje ya JF.... UNALIPIZAJE KISASI KWA KUGEGEDWA NJE..??? HIVI UNAJUWA unapomkomesha mumeo Kwa kugongwa kisirisiri bila yeye kujua, UNAMKOMESHA YEYE AU WEWE MWENYEWE..??? YAANI UNAMKOMESHA MTU ASIYEJUA KWAMBA ANAKOMESHWA...!!¡

Halafu cha ajabu anayekushauri kuachana na mumeo YEYE ANAYASEMA HAYO AKIWA KWA MUMEWE...!!!
 
Mi hilo ndio sijawahi kulifikiria kbs, eti nigombane na mme wangu nihame nyumba!!!
Bado sana, ht jirani au rafiki hapati taarifa khs ugomvi wetu. Likinikaba sana ni simu kwa mama yangu basi napata relief ya moyo wkt.
Na uzuri mme wangu ni wale watu wa kujutia sana, baada ya hasira kuisha huwa anajitahidi sana kuweka mambo sawa.
So, far khs michepuko hiyo haijawahi kuwa sababu ya kugombana kwetu.
 
Mungu kakujalia hekima hiyo.. akina mama Naomi hadi ile ya kuchukua 4M kwenye akaunti ya mumewe kasimilia... Madhambi ya mumewe anasimulia Kwa kila MTU...

BAHATI MBAYA WALIO WENGI HUWAPENDA SANA MARAFIKI WANAOWASHAURI YALE WAYAPENSAYO KUYASIKIA....
 
Wanawake wengi hawajui kuwa MUME HAFOKEWI...hata hao waombaji wazuri hapo kabla walikuwa wafokaji wazuri ti Kwa waume zao... AKINA MAMA D, MAMA NAOMI ..ETC WA HUMU JF JIFUNZENI MAPEMA KUWA MUME HAFOKEWI.... usingoje Hadi umdhalilishe "DANIEL" wako Kwa majirani zako ndo ubadirike...!!! Achana na marafiki ambao USHAURI NAMBA MOJA KWAO NI KUMKIMBIA MUME...!!!! ONA MARINO ALIPO, SASA KAWA MLOZI... ONA MAMA NAOMI ALIVYOSHAURIWA...!!!?

Acheni roho za kushindana na waume zenu....
Kwani Marino nani alimshauri akimbie yeye tu na kiranga chake
 
Mungu kakujalia hekima hiyo.. akina mama Naomi hadi ile ya kuchukua 4M kwenye akaunti ya mumewe kasimilia... Madhambi ya mumewe anasimulia Kwa kila MTU...

BAHATI MBAYA WALIO WENGI HUWAPENDA SANA MARAFIKI WANAOWASHAURI YALE WAYAPENSAYO KUYASIKIA....
Marafiki wengi huwa hawana nia njema sn na ndoa zetu,
Na muda mwingine unaweza kuwa unamsema vibaya mme wako ili hali bado uko nae ndani, unalala nae, unaishi nae yaan inakuwa haipendezi.
Mnajikuta jamii inawadharau wote.

Kiukweli mm mambo ya familia yangu nayamaliza mwenyewe na mme wangu, hata mama yangu huwa nampigia kumwambia yale yaliyo na nafuu tu ili anipoze moyo kidogo.
 
Hii story muisome na muielewe, ina mengi sana ya kujifunza hasa wanawake, dada zetu, wake zetu.....nimeguswa sana nikamkukumbuka my ex wife,,,,,duh Mungu msamehe alipo......in deep hii iko ktk maisha yetu kabisa....sana tuu....wanawake ache kuwa na marafiki wanafiki,,,,,muombeni Mungu ktk Christ Yesu mupate marafiki wema.....mkisali mmaanishe,,,mna nguvu KUU na ya ajabu,,,hamuitumii mnataka shortkati.....kumdhalilisha mmeo, kutangazia kila ubaya.....kwenda kwa waganga,,,,,,,wanawake MTUPONYE , tunawapenda sana hamjui tuu....
 
Bro naona hukauki kwenye hii siredi, nafundishwa na wazazi, majirani, nahubiriwa kanisani, naangalia muvi, nimesoma vitabu na sijabadilika ila nije nibadilishwe na hii stori ya kutunga?
 
utunzi ni sanaaa....na maisha ya ndoa ni sanaa pia dada yangu....
 
Naona sisi na wake zetu hatukauki kusoma hii story, inafundisha sana kwa sababu binadamu huwa tuna kasumba ya kutoka nje ya mstari.

Kina mama Karisa wapo wa kutosha kwenye jamii zetu, mwanamke akishindwa kuchagua marafiki mwisho wake ndoa inaota mbawa...
 
Hii story muisome na muielewe, ina mengi sana ya kujifunza hasa wanawake, dada zetu, wake zetu.....nimeguswa sana nikamkukumbuka my ex wife,,,,,duh Mungu msamehe alipo......in deep hii iko ktk maisha yetu kabisa....sana tuu....wanawake ache kuwa na marafiki wanafiki,,,,,muombeni Mungu ktk Christ Yesu mupate marafiki wema.....mkisali mmaanishe,,,mna nguvu KUU na ya ajabu,,,hamuitumii mnataka shortkati.....kumdhalilisha mmeo, kutangazia kila ubaya.....kwenda kwa waganga,,,,,,,wanawake MTUPONYE , tunawapenda sana hamjui tuu....
pale baba d anatumia ubabe na kumpiga mwenzie na bado akavumilia zaidi na zaidi, baba d ana mchepuko anauthamini kuliko mke wa ndoa unahisi huyo mke hana moyo? Mwisho wa siku hao hao washauri wa ndoa hawakuyafanya yale ya kuwaweka room moja kitambo hiyo waje waweze saa hizi mtu kishachoka? Wanawake hua tunavumilia sana sana lakini moyo wake ukishasema imetosha hua harudi nyuma, alichobugi mama d ni hii life stylr alioichagua ningekua ni mie ningetuliza nafs yangu nikaendelea na ualimu wangu nikalea wanangu mwisho wa siku heshima yangu inabaki pale pale kuliko hivi alivofanya, usitegemee mtu ajifunze kupitia hizi riwaya hujui kakwepa mishale mingapi mpaka kua alivyojichagulia mkuu ni wa kumuombea tu Mungu ambadili mwenyewe sio binadam tena.
 
Mama D alichokosea ni kutelekeza kazi na kujiingiza kwenye ushirikina ila safari hii yatamtokea puani sio kwa maombi yale ya mama Simon
 
yes uko sahihi, angebaki na kazi yake tu

Yan kwa hayo maombi marino lazima jini likimbie limwache peke yake maombi ni mazito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom