Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Hata wewe nikikupa si utanifwata tu? Ngoja nikutumie saiv
Na kwa hali ilipofikia Marino atahamia rasmi mapenzini na Moses mana Fadhili ndo kashambwaga hvyo kimya kimya...Apewe laki 3 bila kuitolea jasho eti, atamfata tu Moses atachakazwaa namuonea huruma
 
Ni haki yake ale pesa maana anatumia muda na akili nyingi sana kutunga story. Kutunga story ni kipaji halafu kwa dunia ya sasa tupo kwenye Capitalism hata ungekuwa wewe lazima upige pesa tu. Acha azikusanye maana ni sehemu ya kazi yake
Angetunga ingekuwa haki yake huyu hii story hajaitunga hapo ndo penye ukakasi
 
Safi sana kwa yanayomkuta...

Fadhili kumbe ni marioo pesa anapewa na mwanamke... ndiyo maana kakamatika haswa...

Ila Moses nae anaondokaje bila kuchahua...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom