Naipenda JF na hawa......

M'Jr hata mimi hunipendi.
 
Last edited by a moderator:
MIMI PENDA WEWE PIA partner!
af ule mpango wetu ujue tunakalia mijihela enh!oh!
 
Daa ulio wataja hata mie nawapenda na wengine usio wataja!
 
Nahisi sijakonsetireiti naona kama wote wakike au wengi wa kike.
 
Shkamoo Babu. Utakunywa uji ama chai?
Kwa maandazi au vitumbua? he he he he
M Jr, mi nipo, naingia kila siku ila zaidi PM
Umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Mie huwa sigawani maujiko na mtu. Nitake razi nakwambia....:majani7:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…