Naipenda Facebook siwezi kuiacha

Naipenda Facebook siwezi kuiacha

Ndiyo mahali pekee unapoweza kuwatofautisha watu kwa maeneo walipo kwa picha zao bila hata kuwauliza, utaona watu wa Arusha wanavyotofautiana na wale wa Mbeya, Iringa, Mwanza, Dsm, Tanga, Kigoma Kagera nk na hao wa mikoa tajwa wanavyotofautiana na mikoa mingine zaidi
 
Back
Top Bottom