Naipenda CHADEMA

safi sana ha ha ha maji ya bendera hapo mtu amekunywa
 
Sio watanzania wote ila majority ua watanzania ni wajinga kweli kweli!

Kuna vitu watu wanafanya huwa najiuliza vichwani mwao wamebeba nini?
 
Huyu jamaa aliyejichora kafanana na yule mwanajeshi feki wa chadema anayeozea jela kwa kupiga picha na Lema na nguo za wizi za jeshi...
 
Chandimu kwa kupenda masifa? Kesho mkipigwa chini na ccm mnalalama kumbe mikutano inajazwa na wapiga viduka wenye umri chini ya miaka 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…