kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Halafu mfano wa kutumia tochi na betri zake pasipokuweka gunzi sio mzuri kutumia Kwa sababu wenzetu tochi lao hata ukiweka gunzi tochi yao itawaka Kwa vile wananchi ndio watakaoamua maendeleo yao siyo vyama Kwa utaratibu wao wa majimbo.Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Chama kiende kwenye kampeni bila kuzoa watu kwa malori na kutumia wasanii ka upinzani uliozuiwa five year's without political activities then kwenye kampeni zao wanajaza watu bila wasanii na nguvu za Dola huoni kuwa ccm ijitafakari matendo yakeHapa ni Tabora ! Unasema CCM imepoteza muelekeo unaakili kweli wewe! View attachment 1580145
Umempa makavu huyu nzi wa kijani sidhani kama atarudi tena 😂😂😂Yaani hapa unakiri kuwa kampeni yake haina muelekeo[emoji116][emoji116]
Kisha hapa unakiri kuwa chama kinamfia na Chadema wanachukua Dola bila tabu[emoji116][emoji116]
Huyu huyu Meko unaendelea kupigia mstari aliratibu biashara ya wapinzani kuunga juhudi ambayo ime backfire[emoji116][emoji116]
Kisha Meko huyo huyo atashinda bila shida[emoji116][emoji116]
Unaonesha kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana Mkuu, tulieni kampeni hazijafika hata nusu mmechukua 'likizo' mara mbili na bado mnapwaya.
Lissu ongeza Spana 'wameshalegea'.
Wewe kwa kiasi kikubwa ni mkweli, nasema kwa kiasi kikubwa siyo 100%. Ulifaa uwe kwenye nafasi za juu za chama chako kuweza kufikisha ushauri kwa viongozi wa chama chako, hasa katika kampeni hizi hadi kipindi cha utangazaji wa matokeo.UKWELI NI KUWA BARA TUTASHINDA URAISI NA UWINGI WA WABUNGE, VISIWANI NI PAGUMU KIDOGO, TUTEGEMEE SEREKALI YA MSETO
NDUGU, KWANZA NIPENDEZWA SANA KWA NAMNA ULIVYOPANGA POINT ZAKO, VERY PROFESSIONALLY AND IMPRESSIVE.
WHAT U R MISSING NI KUWA SIO KUCHANGANYIKIWA, KATIKA KUFANYA SELF ANALYSIS MTU UNAWEZA ONA MAPUNGUFU KATIKA JUHUDI ZAKO, NA UKAHITAJIKA KUREKEBISHA.
UNAPOKUA INSIDER, UNAWEZA FANYA MAREKEBISHO BILA KUWA A PUBLIC ISHU, LAKINI KAMA SI MTU WA JIKONI, INAKUBIDI UTUMIE NJIA RAHISI YA KUWAFIKIA WAHUSIKA.
UsikaririHumu tu kwa mitandao Lissu lazima atashinda, Mziki uko kwenye box la Kura hatoaamini kua Watanzania ubabe wao ni kwenye keyboard tu hawana hata jeuri ya kwenda kupanga foleni ya kupiga Kura!! Muulizeni Mange Kimambi na maandamano yake, support aliyoipata Mtandaoni ilikua kubwa kuliko waliojitokeza barabarani!!
Tunahitaji Hoja kama hizi ! Ni hoja zenye mashiko ! Umepangilia maneno yako vizuri Sana ! Hoja yako ina mashiko . Endelea kutuelimisha Ndugu yangu . MUNGU akubariki Sana !POLENI, WE KNOW THAT PEOPLE HAWAKO NA FURAHA NA BAADHI YA VIONGOZI, UCHAGUZI HUU HAKUNA CHAMA KISICHOKUWA NA KASORO.
CHADEMA WANASHIDA YA KUONENANA WIVU, LISSU AMEKUWA NA MVUTO MKUBWA NA KUHATARISHA AUTHORITY YA MWENYE KITI NA GENGE LAKE. KUNA MENGI YAMEJITIKEZA, NA HAYAFAI MIMI KUYASEMA LAKINI YATAJITOKESA BAADA YA 3RD OCTOBER.
ACT; WAMEANZA NA UNAFIKI NA KUCHEZEANA, HAKUNA UELEWANO KATI YA VIONGOZI. INAKUWAJE KIONGOZI UNAUNGA MKONO MGOMBEA MWENGINE NA HALI CHAMA CHAKO KINA MGOMBEA. HYPOCRIT
Tangu lini jiwe likasikia?Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Itakuwa anaumwa labdaKwanza tuambie Jiwe yuko wapi na anafanya nn huko aliko?
CHADEMA hatunaga watu kama nyiehali hio yako pia ninayo mim kwa upande wangu hapa Mtaa wa ufipa tumekuwa makundi makund.
Kama mnajua atashinda basi mwache alumzike tu homeMagufuli kushinda atashinda, ninashotaka ni kushinda kwa kishindo, that's why we are a bit disapointed. There is no issue winning the election.
I have not apologized nor will I, Ihave strategically presented my case, will see it as you have, but those few smart ones in your echelon will understand.
Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Hii Nchi inaongozwa kama familia, how comes unafokea mwajiri wako (wananchi) badala ya kufokea watendaji ambao umepewa uwasimamie?
Hii ni jeuri, kiburi na dharau kubwa kwa wananchi.
we will show you this time kuwa tunajielewa.
Wewe unatumika na "mabeberu"😀😀Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Kimepoteza mkuu.hapo watu wanakuja kuangalia wasanii mkuu,hata mi ningekuwepo ningeenda fiesta la bure.Hapa ni Tabora ! Unasema CCM imepoteza muelekeo unaakili kweli wewe! View attachment 1580145
Umeona eeNinakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Anataka kukimbia wapi kwani?Raisi yupo kazini, yeye anafanya kampeni na pia bado ni raisi wa nchi, na ana majukumu ya kitaifa, sio mtu asiye na kazi na mwenye kungojea akubaliwe maombi yake ya ukimbizi