Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Kwa Maana Nyingine Prof. Lipumba Kasema Dr. Shein Ni Vema Akubaliane Na Matakwa ya Wazanzibar Ili Maalim Seif Akabidhiwe UshindiHATIMA YA Z'BAR:
M/kiti mstaafu wa CUF Profesa
Lipumba asema leo Dar kuwa
suluhu ya kisiasa Visiwani
itapatikana ikiwa Rais Shein
atakubali kuendelea kuhesabiwa
Chanzo:Mwananchi Online