Tky
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 439
- 140
sijui inafikiri nini wanafunzi wa mwaka wa pili, ambao mwaka jana tulikosa mkopo pasipo na sababu ya msingi, yani wametuibia hela zetu na mpaka sasa vyuo vinafungua wanatuletea siasa. ushauri wangu kwa wanafunzi wote yani walio na mkopo na wasio nao tuingie barabarani tu kwani serikari ya magamba mpaka muandamane kidogo ndo inasikia. Jamani inauma sana kwan maisha ya chuo ni kama mkimbizi vile nchini kwetu