Mungu Tusamehe Afrika
Senior Member
- Jan 18, 2022
- 139
- 204
Mwongo huyu. Antafuta taharuki waje waanze kutukana jamhuri na mihimili yakeUliwakopesha nini?
Itakuwa alifukuzwa kazi ndio akakata rufaa kwenda CMA ,akashinda.Uliwakopesha nini?
CMA ndo nini mkuu msaada plz naamini na mm itanisaidiaItakuwa alifukuzwa kazi ndio akakata rufaa kwenda CMA ,akashinda.
CMA ndo nini mkuu msaada plz naamini na mm itanisaidia
Kiufupi ni kwamba watendaji wa serikali wanalipa kwenye manunuzi mapya kwakuwa wanapata payback hayo madeni ya zamani hayana payback kwahiyo hawahangaiki nayoHabarini,
Kila leo serikali inakopa fedha nje za riba ili kutumia kwenye mambo yenye faida kwa viongozi hasa 10% kwanini haikopi pesa ilipe madeni inayodaiwa na wananchi?
Mimi naidai serikali zaidi ya 65mln tangu 2018 nimeenda mahakamani nimeshinda kesi niekazia hukumu nimeenda hadi TAMISEMI na Hazina mkurugenzi wa halmashauri husika kaelekezwa anilipe lakini kwa kiburi tu amegoma mahakama nayo inaogopa kutoa amri ya kumkamata, sasa hilo la serikali ya Tanzania kuwajali na kuwa sikivu kwa wananchi wake linatoka wapi?
RAIS SAMIA SERIKALI YAKO NA VIONGOZI WAKO WANAKAIDI AMRI ZA MAHAKAMA NA AWALIPI MADENI YETU TUNAOMBA UINGILIE KATI
Ofisi zao huwa ziko wapi??Commission for Mediation and Arbitration, hii ni tume ya upatanishi na usuluishi juu ya migogoro ya mwajiri na mwajiriwa.Nafikiri ndio hatua ya kwanza pindi usiporizishwa na maamuzi ya mwajiri wako basi unaenda fungua shauri huku na baadae usuporizishwa na tume hii basi ndipo utakiwa kwenda mahakamani.
nafikiri zipo kila mkoa mkuu, upo mkoa gani upatiwe anuani zao?Ofisi zao huwa ziko wapi??
pitia hapaOfisi zao huwa ziko wapi??