Naichukia CHADEMA!

kama unaichukia cdm kunywa sumu ufe, maana cdm is there to stay
 
Chadema haipendwi na Mashetani bali inapendwa na Malaika
 
 
kuipenda au kutoipenda chadema akutazuia mabadiliko 2015 we uipende usiipende kiff cha ccm tayari kimewadia kwahyo bora ubaki na chuki yako kwa chadema ili pumba tuzione mapema
 
unachoipendea ccm ni kipi?


 

Sijawahi kukutana ama kuona limbukeni yeyote anayeipenda Chadema. Kwa muktadha huo hii si habari kutoka kwa gamba kama wewe MAFILILI
 
Last edited by a moderator:

Mimi naichukia CCM kama mavi ya chooni yaliyovunda.
 

wewe na ujinga wako tu,,,,,,,,ccm imebaki na watu wa aina mbili tu wanaoisapoti 1.wanaonufaika na utawala wao 2.wasijatambua wenye akili ndogo wasioelewa mambo yani wanaitwa bendera fuata upepo
 

bavichaa umewasahau?
 
Upuuzi mwingine kutoka kwa mjinga mwingine
 

wanaoweka mbele utaifa ndio hao wanaoendelea kuuza kiasi kikubwa cha taifa na bado kidogo wauze na raia wake huku wao wakihamisha fedha kwenda nchi za nje maana hapa itakuwa sio kwao tena.
 
Mafilili hebu pitia uzi wako , angalia namna wengi wanavyokushangaa , bila shaka utagundua kuwa kumbe hata wewe unaweza kuishi bila posho ya lumumba , bila shaka aibu kubwa imekufunika hapo ulipo . Nakuonea huruma sana .
 
Kapime malaria lbda yamepanda kichwani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Haki yako!... Tunaojua unyama wa CCM, haturudi nyuma.
 
siku hizi hata ile salam ya ccm hoyee haina nguvu we angalia mikutano yao...labda awepo msanii asaidie
 

sio lazima na wewe uipende CDM, CDM haiwezi kupendwa na watu wote vivyo hivyo na kwa CCM pia, hivyo haya ni maamuzi yako yanayotokana na utashi wako wewe km wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…