Naichukia CHADEMA!

Naichukia CHADEMA!

Chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini

Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CHADEMA_____________[/QUOTE

Mkuu weka takwimu kama unazo vinginevyo wewe ni opposite ya great thinkers
 
Siye CHADEMA tunawasikitikia sana Manyang'au wanaokubali kutumika kwa ujira mdogo wa Buku 7 tu ili kuwasaliti Watanzania.
 
Mimi Chadema nawapenda sana sababu wataendelea kuwa wapinzani maisha na Dr Slaa ataendelea kuwa rais kivuli muda wote.
 
Sifa ya ziada kwa Chadema ni matumizi mabaya ya ruzuku

Wewe ni kiboko kwa kupima upepo,MAFILILI najua huwa inafika unawafikiria majirani zako maskini, shangaji,wajomba na wale washkaji zako uliyomaliza nao LY, Wamechoka.... hawana hali, MAFILILI acha kukichukia chadema, wewe chukua buku 7 alafu endelea kuwazuga

Nakushauri uwe na ID tatu au 2 ile ya kizalendo na ile ya buku 7
 
Chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini

Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CHADEMA_____________

chadema ni magaidi
 
Mimi Chadema nawapenda sana sababu wataendelea kuwa wapinzani maisha na Dr Slaa ataendelea kuwa rais kivuli muda wote.
mpeleke baba yako English course kwanza then ndio uje kwa mambo ya chadema.maana hana elimu yoyote atakuwa amefeki vyeti kama ilivyo kawaida ya maccm.
 
some people they're alive bcoz its illegal to kill them.
 
Chadema wabinafsi, wazushi, uchoyo, ulafi wa madaraka, waasi washaanza kuunda jeshi la uasi. Na huo ndiyo mwisho wenu
 
unapokichukia uweke mbadala wa chama gaani kingiine ila kumbuku `kisichofaa kinafaa iwapo kinachofaa hakipo`
 
Chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini

Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CHADEMA_____________

Wewe kama unaichukia cdm,koroga acid ya betri unywe,au koroga nyongo ya mamba unywe.Utakuwa umeshusha Pressure yako.
 
Chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini
HIVI MASLAHI ya Taifa ni yepi? Maana hili ni suala pana lenye tafsiri nyingi na tata. Kila chama kinachoanzishwa huwa na DIRA na MALENGO yake, suala la kuuangana vyama si baya lakini si lazima.CUF wakiungana na TLP suala la kujiuliza ni je, wanaungana ili iweje? Katika muungano huu ni kipi kitaenda kutekelezwa maana hivi ni vyama vyenye itikadi tofauti.
Ni vyema kujiuliza AMANI ya nchi maana yake ni nini?
Je, shughuli za maendeleo ni zipi? Wananchi wanaolipa kodi(direct or indirect) kwa kulipa kwao kodi wanakuwa bado hawajashiriki shughuli za maendeleo?
 
chadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko utaifa ( hapa unaizungumzia ccm)
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia tcd ( kwa sababu ni wanafiki na ni vibaraka wa ccm, kama lipumba alivyoweka wazi jinsi alivyomnusuru jk)
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni ( kama wanavyofanya wabunge wa ccm kupitisha bajeti zinazokandamiza wananchi)
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo ( acha uongo, utachomwa moto)
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini (amani inahatarishwa na polisi ikishirikiana na waziri mkuu, maana hua hatuandamani na silaha)

tafadhalini wazalendo wa tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia chadema_____________
ushauri wangu kwako; hizo buku saba zina mwisho wake! Rudi kwenye utu wako, na uvae uzalendo!
 
Back
Top Bottom