8691jakigili
Senior Member
- Mar 30, 2012
- 178
- 67
Kwa nini uipende CDM wakati mfumo uliopo unakunufaisha wa viongozi waliolikizo muda wote wawapo madarakani, isipokuwa siku Obama anapoingia na kukaa kwa muda wa siku mbili hurejea kazini. Mji wa Dar. unatakata siku mbili kwa sababu ya Obama na si kwa sababu ya mwananchi kama wewe!! Mambo yako mazuri kaka! Hutaki mabadiliko yoyote kwa sababu yatakuharibia mustakabali wa kutibiwa India, kusomesha watoto wako ng'ambo au shule bora nchini tofauti na "kata schools!" Mfumo uliopo hausikilizi tena masikini wanapotaka "India ndogo" ihamie hapa nchini; wanyama wasihamishwe kwenda Qatar; pesa zilizofichwa Uswisi zirejeshwe!