Singida: Naibu Waziri Atashasta Nditiye amepata ajali maeneo ya Iguguno

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Anashasta Nditiye, amepata ajali leo Jumapili, Novemba 11, 2018 maeneo ya Iguguno mkoani Singida akielekea Jijini Dodoma.

Mwananchi limezungumza na kiongozi huyo kwa njia ya simu na amesema kwamba, katika ajali hiyo hakuna ambaye amepata madhara baada ya gari hilo kupinduka mara nne.

"Katika tulikuwa kwenye gari wote tumetoka salama hakuna madhara kwa mtu kuumia, tunamshuru Mungu licha gari kupinduka mara nne" alisema Nditiye.

Nimeambatanisha video ya hali ya gari baada ya ajali.
 

Attachments

  • lQQAfJdP0Cbcga2D.mp4
    2.7 MB · Views: 42
Ajali hiyo ya gari la Naibu Waziri, wa Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye imetokea eneo la Iguguno

> Alikuwa akisafiri kutoka Mkoani Singida kuelekea Dodoma

> Hakuna Mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo mbaya.

Nimeambatanisha video ya hali ya gari baada ya ajali...
Ilo wapi hiyo video mkuu?
 
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Anashasta Nditiye, amepata ajali leo Jumapili, Novemba 11, 2018 maeneo ya Iguguno mkoani Singida akielekea Jijini Dodoma.

Mwananchi limezungumza na kiongozi huyo kwa njia ya simu na amesema kwamba, katika ajali hiyo hakuna ambaye amepata madhara baada ya gari hilo kupinduka mara nne.

"Katika tulikuwa kwenye gari wote tumetoka salama hakuna madhara kwa mtu kuumia, tunamshuru mungu licha gari kupinduka mara nne" alisema Nditiye.
IMG_20181111_192101_335.jpeg
IMG_20181111_192131_398.jpeg
IMG_20181111_191951_066.jpeg
 
Naibu waziri wa uchukuzi na mawasiliano Anashasta Nditiye, amepata ajali leo Jumapili maeneo ya Iguguno mkoani Singida akielekea Jijini Dodoma.

Mwananchi limezungumza na kiongozi huyo ambaye amesema katika ajali hiyo hakuna ambaye amepata madhara baada ya gari hilo kupinduka mara nne.View attachment 930071View attachment 930072View attachment 930073
Moto bati. haya ndio madhara yake. at 80 km per hour. nothing really bad eill happen. Lkn kwa mtu aliye na masikio kama mapambo utamuambia nini wakati anawahi......
 
Hongera kwa airbags technology

Watakwenda kutafutana uchawi na kusahau kuwa mchawi ni mwendo wao.

Hivi hii hasara ya haya magari kiongozi mkuu anaisikia kweli!!
 
Back
Top Bottom