Naibu Waziri wa Habari, Dk. Fenella Mukangara ktk MediaFund forum

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amefika amechelewa, Zitto aliokoa jahazi kwa muda TMF forum na sasa anatoa hotuna kabla ya kukagua maonyesho ya picha
 
Anaanza kwa utangulizi kutambua mfuko wa Tanzania Media Fund na kushukuru wahisani...
 
Anazungumzia kazu za TMF ikiwa ni pamoja na kutoa ruzuku kwa vyombo vya habari na waandishi binafsi
 
Anampongeza Ulimwengu kwa kuwa mmoja wa magwiji wa habari aliyechangia
 
Anashukuru mfuko kufanikisha waandishi kwenda vijijini na kusaidia waandishi kusaidia utawala bora na uwajibikaji
 
Ameomba usaidia kusadidia waandishi kuwa chachu ya moja na si kuwa wachonganishi na wachochezi
 
Uchochezi, machafuko isiwe mchango w mfuko kwa waandishi
 
Mtazamo wa Gov ni kuona kwamba mfuko hautakua na tija kama hautatumiwa na waandishi wenye weledi na wanaozingatia maadili na uwajibikaji
 
Waaandishi wsaidiwe kupata kozi ndefu. Kwa sasa unaangalia project ndogo, waandishi wapatiwe kozi ndefu za diploma na kadhalika. Wasaidiwe kupata vitenda kazi kama kompyuta na moderm
 
Kuna tataizo, si kila habari ni habari na kwa wakati gani.. Anayekua mweledi hawezi kutoa... Habari za uchochezi, uchonganishi bila weledi ni hatari
 
Ikitumika vyema ni nyenzo kuu ya kusukuma maendeleo ya nchi kuelekea Dira 2025 etc ... Hata hivyo sekta inahitaji rasilimali kubwa ambayo wamiliki hawawezi kumudu.. Mfuko usaidie kujenga uzalendo, ukweli na unaozingaria maadili, umoja na sauti za Watanzania zisikike kupitia media... Na serikali kupata taarifa zitakazo saidia za Kizalendo na Utaifa ili itimize wajibu wake.... But kama serikali na kuna kikomo cha uwezo kutenda mambo
 
Tuwatumie wanaoenda vijijini kufanya mambo yatakayoiaidia serikali... Ni matarajio mfuko utajikita vijijini na kusaidia serikali ktk kufanya kazi zake... Serikali ina mpango wa kuwa na waandishi hadi ktk ngazi za wilya na hadi ktk ngazi ya chini
 
Pamiaja na kwaba kila mtz anayohaki ya kutoa habari, busara itatumika ktk kujenga ufahamu chanya kuhusu serikali.. Maana gov haiwezi kuwa popote wakati wote
 
Katiba inatoa uhuru wa maoni,, media ina mchango kuzifikia sauti hizo... Kila tunaposisitiza lazima tufahamu pia katika inasema haki na uhuru haitumiwi na mtu mmoja kukatiza haki na uhuru wa mwingine ama maslahi ya umma...
 
Tuna serikali iko kazini... Pamoja na kuibua mambo, iko mipaka... Mawazo ya kutoa habari na kusukuma ukuaji uchumi na maendeleo... Pia misaada ielekezwe pia ktk vyombo vya umma kwa kuwa vinafika mbali... Ktk maazimio tujitahidi kuangalia media bila kujali ni serikali ama binafsi... Na gov inafaa pia isaidie
 
Itakapofoka tuungane kwa pamoja mambo mengine wanasomeshwa bila kuwa na ubinafsi
 
Back
Top Bottom