johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dr Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.
Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima. Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Inawezekana akawa waziri kamili anaonyesha hatakagi Ujinga!Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
Haya!Sawa
Bwashee usikariri!Nguvu za soda!
Ibada ya kusifu na kuabudu inaendelea...jiwe...jiwe....Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
Twende na Dr G Mollel katika kuibua ufisadi wa Bwanakunu. Ila awe makini TAKUKURU wamekula sana RUSHWA na huyu aliyekuwa CEO wa MSD kwa kuwa UFISADI ni wa muda mrefu. Kila wakipewa taarifa alikuwa na watu wake wanamtonya anawapa hela.Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.
Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.
Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Yeye mwenyewe kipindi yupo Manyara alikuwa anashinda TAKUKURU yeye, Katibu wa Afya(Marehemu now) na MfamasiaMbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lisu amefikaje happy au ndiyo akili ndogoHuyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?
Shithole snYeye mwenyewe kipindi yupo Manyara alikuwa anashinda TAKUKURU yeye, Katibu wa Afya(Marehemu now) na Mfamasia
Kabisa...approach anayotumia ni ileile ambayo inakwamisha mambo....hana jipya aweke ushahidi wa madai yake na pia aseme amechukuwa hatua gani sio porojo tu.Mbona analalamika badala ya kuleta ushahidi wa anachosema na kuiambia nchi kwamba yy amewafanya nini wahusika.....
Nachukulia hayo ni maneno ya mtu mhuni tu........
Kazi ya waziri sio kutuambia malalamiko yake bali kutuambia ametenda nn
Sure👍👍💯Kabisa...approach anayotumia ni ileile ambayo inakwamisha mambo....hana jipya aweke ushahidi wa madai yake na pia aseme amechukuwa hatua gani sio porojo tu.
Anaongea mambo juu juu tu.
Angesoma MD asingeongea hivyo ila kwa kuwa ni DDS wacha aendelee...Mmmh! Jamani madaktari mtadhalilishwa mpaka lini? Huyu NW hayuko kwenye field muda mrefu leo anawambia madaktari wanaandika dawa ya kichocho kwa mgonjwa wa malaria? Is possible? Aweke ushahidi ili mgonjwa aliyefanyiwa hivyo afungue kesi.
Soon atatumbuliwa inakuaje anakosoaNaibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.