Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

Ila pia hospital binafsi kwenye bima nao wanamatatizo yao, huwa wanatabia ya kuzidisha vipimo kwa makusudi. Kwa mfano mwaka juzi nilipatwa mafua makali(😂😂 ingekuwa kipind hiki ningejua korona) nilipoenda hospital moja iringa nukaandikiwa nipime vipimo vitatu, nikaambiwa niende maabara nikapime UTI, Typhoid na Malaria. Kabla sijaenda maabara yule daktari nikamuona kilaza tu kwa sababu dalili za uti na typhoid ni tofauti kbs na dalili nilizokuwa nazo mm nikaona isiwe tabu nikaingia maabara kufika naambiwa kipimo cha typhoid hakipo kwenye bima natakiwa nilipie nikaamua kuanza kuhoji inakuwaje hicho kipimo tena cha kawaida sn kisitambuliwe kwenye bima.. walijitahidi kunijibu Basi nkawabadilikia pia nikamuuliza incharge wao hivi dalili za mtu mwenye UTI na TYPHOID kweli ni hizo nilizotaja mbona hampo siriaz. Nikatoka hiyo hosp nikaenda hospital ya mkoa kumuona daktari Wala haku order niende maabara alichofanya nikuandika dawa tu kwa maana alijua hiyo upper resp infection tu.
 
Huyu jamaa atakuwa makini. Ndio maana hata waliopiga Tundu Lissu aliwafichua. Litakuwa jembe. Sasa Faustine Muda wote alikuwa hajui hata wagonjwa wa malaria wanaandikiwa dawa za kichocho?

Hiyo ni kazi ya naibu waziri au RMOs?
 
Inawezekana akawa waziri kamili anaonyesha hatakagi Ujinga!

Unamuona jembe kwa sababu amewahukumu madaktari wote wa hospitali za serikali kwa makosa ya wachache? Amefanya utafiti katika hospitali ngapi za serikali? Huyu mwenyewe si daktari? Hakuona uzembe huo wakati yeye mwenyewe akiwa ana practice? Kwa nini hakuuzungumzia kabla ya uteuzi? Anazungumzia vipi uzembe ulioko MSD bila kuzungumzia kama serikali umewalipa pesa inazoidaiwa? Na kwenyewe, lini amefanya auditing kama sio kutumia taarifa za aliyemtangulia? Huku ni kujipendekeza tu. Uzuri kwake ni kuwa inalipa.Kuna mwenzake alikuwa anawahi kufunga geti la ofisi ya wizara na sasa hivi ni waziri. Ajitahidi tu awe anaongozana na media kila anapotembelea hizo hospitali kuwakagua madaktari wenzake. Uzembe uliopo katika hospitali zetu si kitu cha kufanyia mzaha maana maisha ya watu yanapotea.

Amandla...
 
Kuwa muelewa hata kama ni kazi RMO lakini wizara ya afya ndio mwajiri wake na ndio ina msimamia na kama kuna kasoro wizara inawajibika

Sasa kwa majukumu ya Waziri anakwenda kufanya nn huko?

It's like leo waziri wa elimu aende akasahishe mitihani

What I mean, Yan waziri amekwenda kwenye kitu ambacho kwa majukumu yake ni kitu kidogo sana, just a call
 
Waziri mwenye dhamana ya afya ya Watanzania. Lazima ajue kama daktari huwa anakupiga midole inavyotakiwa kama una magonjwa ya zinaa. Hakuna jambo dogo lazima asimamie kila kitu.
 
Ila pia hospital binafsi kwenye bima nao wanamatatizo yao, huwa wanatabia ya kuzidisha vipimo kwa makusudi. Kwa mfano mwaka juzi nilipatwa mafua makali(😂😂 ingekuwa kipind hiki ningejua korona) nilipoenda hospital moja iringa nukaandikiwa nipime vipimo vitatu, nikaambiwa niende maabara nikapime UTI, Typhoid na Malaria. Kabla sijaenda maabara yule daktari nikamuona kilaza tu kwa sababu dalili za uti na typhoid ni tofauti kbs na dalili nilizokuwa nazo mm nikaona isiwe tabu nikaingia maabara kufika naambiwa kipimo cha typhoid hakipo kwenye bima natakiwa nilipie nikaamua kuanza kuhoji inakuwaje hicho kipimo tena cha kawaida sn kisitambuliwe kwenye bima.. walijitahidi kunijibu Basi nkawabadilikia pia nikamuuliza incharge wao hivi dalili za mtu mwenye UTI na TYPHOID kweli ni hizo nilizotaja mbona hampo siriaz. Nikatoka hiyo hosp nikaenda hospital ya mkoa kumuona daktari Wala haku order niende maabara alichofanya nikuandika dawa tu kwa maana alijua hiyo upper resp infection tu.
Ulikuwa na dalili gani?
 
Nikikua na mafua makali yaliyoambatana na homa
Homa ni dalili ya UTI, Malaria na Typhoid pia. Kwahiyo daktari alikuwa na lengo zuri tu kukupima hayo magonjwa. Alikuwa anataka kujiridhisha kuwa huna hayo magonjwa. Muda mwingine lengo la kupima siyo kutafuta (confirm) ugonjwa, bali kujiridhisha kuwa ugonjwa haupo( to rule out).
 
Kwanza hayo mambo ya makaratasi ya Fomu ni wastage of Resource wa computerise system zao na wawe na stable network karne ya 21 hii kweli bado mnarundika makaratasi ambayo sioni umuhimu kuna documents muhimu kuwa hard copy ila sio hayo ya Bima
 
Ukiona daktari anayelenga magonjwa matatu manne kwa wakati mmoja huyo hajaiva vzuri. Hivi katika kutoa maelezo yangu hakuna sehemu nilimwambia tumbo linanisumbua wala sijui choo kikoje anaibuka na typhoid kweli. Ok uti hamna tatzo lolote nalofeel kwenye urinary system afu uje na kipimo hicho kweli. Ndio maana nilipoenda referral hospital Wala hakuangaika sijui uti typhoid aliniandikia dawa na nikapona. Hata utoaji dawa mtu anakupa dawa ya kulenga magonjwa hata matatu kwa wakati mmoja coz hayupo competent na magonjwa anabahatisha
 
Kwanza hayo mambo ya makaratasi ya Fomu ni wastage of Resource wa computerise system zao na wawe na stable network karne ya 21 hii kweli bado mnarundika makaratasi ambayo sioni umuhimu kuna documents muhimu kuwa hard copy ila sio hayo ya Bima
Comment nzuri sana...
Haya ndio baadhi ya mambo ambayo kama Mollel angekuwa sawasawa ndio angeyafanyia kazi na kutueleza sio bla bla tu..
Amedisplay high sense of incompetence...
TGIF.
 
Back
Top Bottom