johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,724
- 141,585
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la wabadhirifu liko Takukuru.
Kuhusu goverment hospitals Dr Mollel amesema madaktari wake wanawaandikia dawa za kichocho wagonjwa wa malaria na hivyo kuzusha sintofahamu kwenye taasisi za Bima.
Kwa sababu wanalipwa mishahara na serikali watendaji wa hospitali zetu wanavurunda tu hata kujaza fomu za Bima ya afya hawawezi ndio maana fedha nyingi za Bima zinaenda hospitali binafsi kwa sababu madaktari na watumishi wao ni watu makini na waliojipanga ambao wanajua mishahara yao inatoka kwenye Bima, amesisitiza Dr Mollel.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!