Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,643
- 1,786
Umuhimu wake ni nini mwilini?Mashirika ya chakula yote duniani wanashauri ule nyama na ni muhimu sana kwa mwili.
Umuhimu wake ni nini mwilini?Mashirika ya chakula yote duniani wanashauri ule nyama na ni muhimu sana kwa mwili.
Ni kweli tatizo ikizidi ndio inakuwa shidaMkuu cholesterol haina uhusiano wowote na afya ya mwili maana mwili wenyewe unatengeneza cholesterol 80%.
Ni kweli tatizo ikizidi ndio inakuwa shida
Tutakula maharage badala ya nyama
Wanatufanya hatujui. Kuna watu hawali nyama na hawajapungukiwa hayo wanayoyasemaTena protini itokanayo na mazao ya jamii ya mikundekunde ndiyo hushauriwa kutumika kiafya zaidi kuliko protini zitokanazo na wanyama kama nyama na samaki .
Mtu akiweza kula maharagwe, choroko, kunde, mbaazi, njegere, njugumawe n.k atakuwa na afya njema zaidi kuliko mia nyama mara kwa mara
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk.Rashid Tamatamah amesema Watanzania hawajafikia kiwango cha kimataifa cha ulaji wa nyama ambacho ni kilo 50 kwa mtu mmoja kwa mwaka
Hashim Rungwe alitaka kugawa nyama na ubwabwa ili kufikia hivyo viwango akazuiwa
Watu walioshindwa kuweka umeme kwenye nyumba zao kwa 27,000 watapata wapi pesa ya kula nyama na kunywa maziwa? hadi harusi ,sikukuu au wasombwe kwenye malori ya ccm kuletwa mjini kwenye mikutano ya kampeni zao
Ndio maana huwa nasema cdm wasije kujidanganya kwenda kupoteza pesa na mda eti kufanya kampeni kwa watu wa dizaini hii ambao kwao umaskini ni sehemu ya maisha yao hawaelewi wala kuambilika maana wana udumavu wa akili na kupaushwa na umaskini,hawa huwezi wasimulia maendeleo au mambo ya kuhitaji uelewa wakabadilika wanachojua wao ni ccm tu..Usimsaidie maskini achana naeYani inasikitisha sana !
Watu wanaishi kwa kula mlo mmoja tu kwa siku na hiyo Ndiyo maana hasa ya umasikini.
Na kwa kule kuwa Ignorants wanadanganyika kirahisi hususa wakati huu wa Campaign na uchaguzi,
Wakipewa T-shirt, kofia n.k wanarubunika.
Ni ujinga ukiwa huelewi....sisi wafugaji mifugo sio chakula mifugo ni mali.....kwanini ni haribu mali yangu kwa shida isiyo ya muhimu....nikichinja damu na maziwa ntaipata wapi?......mifugo kwetu ni source ya securitySisi kwetu ni wafugaji!Ila siku mbuki siku wamechinjaa mbuzi au ng'ombe Kama kiburudisho tu,atachinjwaa akiwa anaunwa taabani,atachinjwaa kukiwa na msiba au harusi.mbuzi karibia Mia nne na bado wanazaa Ila hakunaa kutafuna.huu ulikuwa ujinga sanaa
Ndio maana huwa nasema cdm wasije kujidanganya kwenda kupoteza pesa na mda eti kufanya kampeni kwa watu wa dizaini hii ambao kwao umaskini ni sehemu ya maisha yao hawaelewi wala kuambilika maana wana udumavu wa akili na kupaushwa na umaskini,hawa huwezi wasimulia maendeleo au mambo ya kuhitaji uelewa wakabadilika wanachojua wao ni ccm tu..Usimsaidie maskini achana nae