Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

Malengo mengi hupoteza shabaha, miradi iliyoanzishwa yenyewe haifukuti wala kuonyesha mafanikio, kauli kama hizi z utatuzi wa umeme kama serikali haijui ni tatizo kidogo unawaambaijae wafanyabiashara
 
Ndugu zangu watanzania ,

Hiyo ni taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu akiwa mkoani Mbeya ,kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgao wa umeme utakwisha bali inachofanya serikali yetu kwa sasa ni kufanya juhudi za kuongeza vyanzo vya umeme kama vile umeme unaotokana na jotoardhi.amesema kwa muda mrefu serikali na Taifa lilikuwa linategemea vyanzo vitatu katika kuzalisha umeme ambavyo vilikuwa ni maji,mafuta pamoja na gas.

Lakini sasa serikali imeamua kuongeza vyanzo vingine vya nishati ya umeme ikiwepo hii ya joto ardhi ambayo ni ya uhakika,endelevu na salama sana kwa matumizi.na kwamba serikali itaongeza kasi katika kukamilisha miradi hii itakayotupatia na kutuwezesha Kuongeza megawati zitakazo unganishwa katika grid ya Taifa.

Amesema ya kuwa kwa sasa matumizi ya umeme yameongezeka sana kutokana na kasi ya ukuaji wa uchumi na kwamba kwa sasa umeme siyo suala la anasa bali ni matumizi na huduma ya lazima kwa mtanzania. Ndio maana serikali yetu inapambana katika kuhakikisha ya kuwa huduma hii ya umeme inapatikana na kuwa ya uhakika.

Rai yangu kwa watanzania wenzangu ni kuwa tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu.natambua maumivu yapatikanayo kutokana na mgao wa umeme.natambua kuna wengine wanapata hasara kwa kuharibikiwa na bidhaa au vitu vinavyotegemea umeme kuendelea kuwa salama .nimeona kuna watu wakitupa nyama ya mbuzi,wengine kuku,wengine samaki wabichi baada ya kuwa wameharibika.

Najuwa kwa sasa umeme ni uchumi,ni mtaji kwa vijana wengi na ni pumzi ya watanzania.ukikata umeme ni kama kuwapatia pumzi ya moto Watanzania,ni kuwatia umaskini,ni kuwapa presha wale wanaotegemea wafanye kazi ili warudishe pesa za marejesho kwenye vicoba na vikundi au taasisi mbalimbali za mikopo,ni kuwakatisha tamaa wajasiriamali.

Ni kuwabubujisha machozi wale ambao vitu vyao na bidhaa zao zinaharibika kwa kuoza. najuwa mamia ya vijana waliojiajiri wanategemea umeme kuendesha shughuli zao, kuanzia wale wa salon,gereji, fundi kuchomelea,mashine za kusaga n.k.

Kwa kutambua hayo ndio maana serikali yetu inafanya juhudi kubwa sana kuhakikisha kuwa umeme unapatikana kwa uhakika na muda wote. ndio maana serikali inaongeza vyanzo vya nishati badala ya kutegemea vilevile vya miaka yote angali idadi ya watu na shughuli za uchumi zinaongezeka na kukua kwa kasi kubwa sana inayoongeza mahitaji ya huduma ya umeme..

Poleni sana watanzania wenzangu , lakini tuendelee kuwa wavumilivu,watulivu,wenye subira na imani na serikali yetu Sikivu chini ya uongozi shupavu, imara,thabiti na madhubuti wa mzalendo wa kweli na mama mwenye upendo na huruma kwa watanzania jemedari wetu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mimi kama ndio kiongozi wa nchi alafu tanesco wananisumbua hivi hawaji na solutions za kueleweka akiyanani muda wa mshahara unatakiwa upitilize nawaambia umeme umekata system zinagoma.

Akili zingekaa sawa.
 
Kwahiyo yule kahaba alitudanganya maana yeye alisema wazi kuwa mgao mwisho lini.
 
Futa kabisa hiyo ndoto yako ya kuota kuiondoa CCM madarakani.CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi.ndio maana unaona ikifanya juhudi kubwa sana kukabiliana na Changamoto ya aina yoyote ile inayokuwa imejitokeza mbele yetu kama Taifa ikiwepo hii ya mgao wa umeme.
Ubongo wako uliochelewa kupata oxygen wakati wa kuzaliwa ndiyo umegota kufikiri zaidi ya uchawa tu
 
Mahitaji ya umeme yameongezeka kwa kasi kubwa sana huku vyanzo vya umeme vikibaki kuwa vilevile, ndio maana serikali inafanya juhudi na jitihada kuongeza vyanzo vingine vya umeme kama hiki cha joto ardhi.
We bwana mkubwa hivi sensa huwa wanafanya kwa sababu ipi ? Hakuna projection ya mambo baada ya muda fulani ? Hii nchi haina visionary leaders ? Unateteaje upuuz kama huu ? Matumizi yeongezeka kama ajali ? Shule mmesoma kweli nyinyi ? Kwahiyo umeme kukata ni swala la milele sababu siku zinavyozidi kwenda population inaongezeka na watumiaji wanaongezeka ndio unajaribu kusema ivyo ? Tutatoka kweli kwenye hii loop ?Kwanini mtu akiwa ccm anakuwa jinga jinga na zezeta ? Why my friend ?
 
Bwawa la mwalimu Nyerere likikamilika na kuzalisha kwa uwezo wake wote basi litatupatia megawati 21115, ambapo ukiongeza na hivi vyanzo vingine tutakuwa na umeme wa kutosha na wa ziada ambao mwingine tutauza nje ya nchi.
We jamaa unajua resource za kuzalisha megawat 21115 ? Kwanza nmunajua megawatt ni ni i. ? Au mkiambiwa megawat mnapiga tu porojo ? Haya mambo ni hesabu mkuu sio porojo mzee wenzako umeme tunaujua kwa taarifa yako megawat moja inaweza kupower karibia 750 house holds sasa hapo zidisha ujue sasa basi kukiwa kunafanyika installation ya power plant ni dhahiri kabisa walishapiga mahesabu ya haouse holds zilizopo na projection ya zitakazoongezeka na wakaweka room ya reserve sasa unaposema matumiz yameongezeka gafla maana yake nini na sensa huwa inafanyika tena kwa hela nyingi ? Unadhani watu wote ni mazezeta kama watu wa ccm ? Mkikaa kwenye magroup yenu ya propaganda muwe mnatumia akili kutengeneza hizi vitu hata viwe na logic kidogo watu wamesoma shule na wanaelewa kila kitu hakuna cha kuficha, achen huu ujinga aisee.
 
Serikali yetu inatambua hasara anayopata mwanamchi ambapo hata mimi nimewekeza vyema kwenye andiko langu.hii ndio sababu serikali yetu inafanya kila liwezekanalo na kwa njia yoyote ile kuhakikisha kuwa umeme unapatikana bila mgao kwa haraka iwezekanavyo ,ili kupunguza athari katika uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla wake.
Umeme haupatikani kwa njia yeyote we kenge umeme unapatikana kwa mipango thabit na mahesabu makali yan ukisema kwa njia yeyote manaake happ hakuna plan kabisaa, umeme haupatikan kwa plan ya gafla , ili uweze kutosha lazima hesabu zipigwe na plan zinazotekelezeka ziwekwe mezani, yan miaka sitin ya uhuru bado tunatumiaga hydropower as our main source of power na wamejenga dam lingine kubwa wakati hydropowe is one of the least source of power na effectivity yake inazidiwa hadi na upepo na upepo upo Tz, danganya watu kijijini kwenu huku kwetu watu wameamka sana
 
Tunajua kuwa warehouses zao bado zimejaa majenereta na solar panels hivyo mgao ukiisha viongozi wetu watapata hasara,tuvumilie tu,CCM oyeeèeee
Umexema ukwelli. Kila kiongozi akifungua mdomo kuh. umeme anatoa tarehe yake. Yaani waTz xaxa kila kiongozi aloko madarkani anajua tu-mabwege, anatudanganya, tunanyamaza. Tukiambiwa tukadai haki zetu za kutawaliwa kw weledi, tunaufyata, ati tunaogopa polisi watatumaliza na wanafamilia kubaki wakiwa. Nchi kwa ss ina ishi kw misaada ya wafadhili na tuna kina Lukas wanafurahia, wananeemeka, wanaimba mapambio. WaTz tufungue macho ...dah!
 
Huu upuuzi waambie watoto wa chekechea. Hivi ni Tanzania tu hapa duniani ndiyo matumizi ya umeme yameongezeka? Hivi unajua mahitaji ya umeme Tanzania ni kiasi gani na vyanzo tulivyo navyo vinaweza kutengeneza umeme kiasi gani? Lucas unataka kujiweka kwenye nafasi ya msemaji wa serikali tena kila kwenye sekta wakati huna taarifa sahihi juu ya masuala yanayolalamikwa. No research no right to open your stinking mouth,just shut up !!
Kama vile analipwa kuudhi watu. Wala hajali kama watu wanamwona zuzu! Not only he has a stinking mouth, his whole body stinks ...damn him!
 
Kama hana majibu ya ni lini mgao wa Umeme utaisha ni Bora waondoke mararakani, ili wanahitaji kutatua kero ya umeme wananchi wawape kura.
 
Back
Top Bottom