PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo.

"Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu utakuwa uhuru na wa haki huku nchi ikiendelea kuwa na amani"

"Uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki kama katiba inavyotaka, waliposikika waliotaka marekebisho ya sheria Serikali ilipitia na kufanya marekebisho ya sheria zinazosimamia uchaguzi na leo milango ya Rais Mhe. Dkt. Samia ipo wazi kwa yeyote mwenye kutoa malalamiko yake ili nchi iende mbele".

SAWA kama walioanzisha no reform no election ni chadema bas uchaguzi utakuwepo,lakini kama ni wengine nanchadema inatumika tu waliojiandaa kushindanwatajikuta hawawezi Fanya kampeni!!!

Labda kama wake jamaa sio wao lakini kama ni wao kazi tunayo!!
 
Hakuna hicho cheo kwenye katiba.....utajikombs tuu....sasa utaluwa hoja gani museee? Huruma tuuui...kula mafii huna jinsiiia wewee
Mkuu Lumbardi kuna haja yoyote ya kuandika matusi? Toa hoja zako acha lugha chafu.
We ni mtu muungwana acha kujichafua bwana.
 
SAWA kama walioanzisha no reform no election ni chadema bas uchaguzi utakuwepo,lakini kama ni wengine nanchadema inatumika tu waliojiandaa kushindanwatajikuta hawawezi Fanya kampeni!!!

Labda kama wake jamaa sio wao lakini kama ni wao kazi tunayo!!
Ww umesema kitu sensitive sana.
 
Kwani si wameshasema mbona wanarudia rudia sana😀😀😀

Leo anasema huyu kesho Dr Tulia, kesho kutwa Dr Mpango juzi kasema Cpa Makala.

Kwani kuna tatizo?

Tundu Lissu Hoyeee
Wamewaambukiza hiyo tabia G55.Kila siku kurudiarudia kujitoa CDM.Tabia za uswahili na uchimvi kama wachawi.
 
Back
Top Bottom