Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto karibuni

Soko lililoungua linachangiwa, baadala ya kushangaa eti unashangilia.
Soko lililoungua linapaswa kulipwa na insurance.

Tulia lazima atuambie hizo fedha zimetoka kwenye mfuko upi?, mtumishi wa Umma ngazi ya Uspika anawezaje kuchangia 10milioni?,, mpaka amefanya hivyo basi atakuwa ana akiba kubwa ya fedha na inabidi achunguzwe.

Tuwe serious tunapoamua kujenga nchi na si kwa vioja hivi kwa mtu ambaye ni mmoja wa wana HAPA KAZI TU.
 
Kipi bora kati ya kuwachangia wajasiriamali waliokopa ili waweze kurudi kwenye game au kuchangia soko mali ya serikali ambalo linaweza kulipwa na insurance au kujengwa na serikali kupitia vyanzo vya hapo hapo mbeya??..
 
Wakati huo huo Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya wananchi wanahangaika na ukosefu wa Maji safi mjini Bunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Wassira alilikalia hilo jimbo zaidi ya miaka 30 hakuweza kuleta maji inakuwaje Ester alete maji ndani ya miaka miwili? Kuwa mtu mzima mkuu na jitahidi kufikiria kidgo hata kama hukwenda shule tumia akili ya kawaida tu utakuwa huposti ujinga.
 
Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto karibuni

Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi Ametoa Sh. 0.00/= hadi sasa.

Hilo ni jimbo lake?Kwanini anahutubia hadhara wakati sio jimbo lake???
 
Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto karibuni

Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi Ametoa Sh. 0.00/= hadi sasa.

Uchaguzi 2020 utakamilishwa na kura ya maoni ndani ya CCM!
 
Back
Top Bottom