Naibu Spika Job Ndugai atumia milioni 13 za walalahoi kupanda 1St Class Emirates A380

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Wakati mwana mfalme wa Uingereza Prince William anasafiri ECONOMY na watu wa kawaida kama picha ilivyoonyesha hapo chini, wanasiasa wetu wakiongozwa na aliyekuwa spika wa bunge FISADI SAMUEL SITTA wanatumia zaidi ya milioni 20 kukata ticket ili wasafiri daraja la kwanza

23E55FFD00000578-2866444-image-a-59_1418097586038.jpg


bila aibu huyu naibu spikea JOB NDUGAI anapost na mapicha mithili ya Samuel 6 kuonyesha na ku blog jinsi anavyo waste tax payers money kwa kusafri 1st class kwenye emirates ambako kwa tripu moja alilipa tiket ya zaidi ya milioni 15 ili akae first class ya 380. Nimetaka kuonyesha picha naona kaziondoa lakini msome hapo chini:

"NDUGAI: WanaKongwa niko ndani ya Emirates Dream Airliner usiku huu narudi nyumbani. Paris Dubai dar. Tuombeane kheri

NDUGAI: Ndege hii ni ya ghorofa moja na inabeba abiria wengi sana. Kwenye 300 hivi kwa wakati mmoja. Hapo nilipo ni chumba cha daraja la kwanza na kuna huduma hadi baafu la kuoga ukiwa angani. Kwa mnywaji kuna vilaji vya kila aina na p
ia chakula wakati wowote"



5ceda698ae8811e382ef125cd204e408_8.jpg


attachment.php
 
Ukoo wa panya HAUNA HURUMA na pesa za walipa kodi wa taifa hili - Hatushangai, wacha wazirarue ila tamati yao inakaribia.
 
ameandika wapi hii mkuu na mimi nikachungulie Emirates first class inafananaje...!!!
 
Huyu Ndugai mbona limbukeni kwahyo kupanda first class ndo amewadorishia wananchi waliomchagua inaonyesha hajaamini kama kapanda na maelezo juu ushamba mwingine wa matumizi mabaya ya kodi
 
Dah oooh poor my country, hao wananchi anaowaringishia ht mlo wa siku ni shida na kina mama wanafia njiani kwa kukosa ht Bajaj ya kuwafikisha kituo cha afya....Mungu walaani wanasiasa wa nchi hii

Ni kuwa hajui kama wanashida. Hii inanikumbusha yule mke wa Mfalme aliyeona maandamano ya wananchi wake kupinga bei ya mkate kupanda naye akasema kama hawataki mikate si wale keki?
 
Ushamba huu.Yani kwa hapo alipo bado anajisimulisha mambo ya kupanda ndege?Ama kweli mambo kuyakutia ukubwani ni shida tupu
 
Kiongozi wa nchi mnataka apande daraja la walala hoi wapi na wapi?? Acheni ulimbukeni nyie ndio malimbukeni, kwa hadhi yake na cheo chake anastahili
 
Mkuu first class ya Emirates si mchezo, yaani upo na ka-Private room kako - hata ukitaka mhudumu wa kukuchekesha chekesha muda wa safari basi ni kubonyeza kitufe tu - kweli hela za walipa kodi wa Tanzania ni tamu balaa!!

mkuu ukitaka mhudumu wa kusuuza rungu utapewa???
ngoja na mimi niwe naibu spika mtanipenda
 
Huyu Ndugai mbona limbukeni kwahyo kupanda first class ndo amewadorishia wananchi waliomchagua inaonyesha hajaamini kama kapanda na maelezo juu ushamba mwingine wa matumizi mabaya ya kodi

sasa asingewaringishia mngepata cha kuandika hapa ......"kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake"
 
Back
Top Bottom