Naibu spika: "Change ya rada" si neno sahihi

Naibu spika: "Change ya rada" si neno sahihi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,209
Reaction score
162,786
Naibu spika leo amesema bungeni kuwa si sahihi kuita fedha iliyorudishwa na kampuni ya BAE sytem ya uingereza kuwa ni change ya rada.Akifafanua kauli yake naibu spika amesema yeye akiwa mmoja wa wajumbe waliounda kamati ya bunge kwenda kufuatilia fedha hiyo nchini uingerereza walihakikisha kuwa fedha yote iliyutumika kununua rada inarudishwa na kwahivyo fedha yote imerudishwa na kwa maana hiyo basi si sahihi kuita change kwani hakuna fedha iliyobaki bila kurudishwa.
 
Naibu spika leo amesema bungeni kuwa si sahihi kuita fedha iliyorudishwa na kampuni ya BAE sytem ya uingereza kuwa ni change ya rada.Akifafanua kauli yake naibu spika amesema yeye akiwa mmoja wa wajumbe waliounda ujumbe wa bunge kwenda kufuatilia fedha hiyo nchini uingerereza walihakikisha kuwa fedha yote iliyoibiwa inarudishwa na kwahivyo fedha yote imerudishwa na kwa maana hiyo sio sahihi kuita change kwani hakuna fedha iliyobaki bila kurudishwa.

Sasa mbona anagongana na Kikwete?.........kumbe kweli kulikuwa na wizi sasa JK alikanusha nini?
 
Anataka iitweje? kweli ukiwa Magamba na akili zako zinakuwa hovyo kabisa
 
Ili kupunguza ukali wa maneno nashauri iitwe MASALIA YA DEAL LA RADA!
 
Magamba hata change ya Rada wanaona ni neno baya au tutumie neno linalotakiwa ambalo ni "wizi wa hela ya Rada"?
 
hamna haja ya kutumia tafsida, wizi ni wizi! ukikaa na fedha ya mtu(watanzania) bila ridhaa yao huo ni wizi. na kama waingereza wasingelishikia kidedea ina maana zingepotelea huko! huo ni wizi!
 
Genge la chenge lililo fanya ujambazi wa kikatili na kupora mabilioni ya fedha
za wananchi masikini na wengi wao wajinga wa Tanzania. sasa linakula fedha
nyingine tena kutoka uingireza kwa dili ileile moja ya RADA (yaani jiwe moja
ndege wawili) ama kweli tanzania imejaaa wapuuzi wa hali ya juu kuliko wote Duniani
yaani huu u.segene wa wazi kabisa. naaapa ningelikuwa nishaweka mambo yangu sawa
ninge anzisha kikundi ambacho mngekiita cha kigaidi na ningepiga risasi kuanzia kiongozi wao
mpaka mfuta makalio wao
 
Na zilizochukuliwa Tz pia zirudishwe na wahusika wapelekwe katika mikono ya sheria.
 
Back
Top Bottom