Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

Celina Kombani hakuwa mbunge wa viti maalum alikuwa mbunge wa kuchaguliwa kule Ulanga
Alikuwa mbunge wa kuchaguliwa, lakini aliemfikisha kwenye siasa mpaka akachaguliwa ni kigogo ambae alikuwa anamkaza( wacha nisitumie tafsida kwa kuwa kashindwa kulea potelea mbali nikila ban) na baada ya kuona kapata nafasi na mzee baada ya muda akafulia kisiasa, celena kawa analiwa na wakubwa wengine, huyu mtoto hawezi kupinga hili mama yake alikuwa malaya.
 
Hata huyu aliyepewa kwa heshima ya mama Yake naye ameanza kashfa kweli wanao bebwa ndio wenye dharau
 
Alipitia mchujo wa kuanzia wilayani,mkoani hadi taifa?????????
Alipitia nina ushahidi kwa kuwa wakati huo wanawake walikuwa wanakimbizana na ccm tu, chadema ilionekana ni upotevu wa maadili kwa watoto wa kike, nimekuwa nae na niliyaona mengi kwenye harakati zake hizo.. Hta Lisu kule singida alikosa mtu wa kumuweka ndio akamuomba dada ake kwa kuwa wamama wote wana siasa waliamini ccm, jamani acheni kushabikia jambo usilo lijua.
 
Kwani hilo ni siri? Kuanzia Halima mwenyewe. Halima hakuwa kabisa katika siasa hata pale UDSM ilikuwa akisikia mambo ya siasa huyoo anachukua daladala anakwenda kwao Kibangu. Zitto amewaibua wengi tena wengi sana, wengine alikuwa akiwapeleka CCM na wengine CHADEMA. Kwanza anawatfutia nafasi CCM kwa kuwa mchakato wao unaanza, kama kuna wanaowapenda hao wanatoka wanarudi tena kugombea CHADEMA kwani siri. Yule Mbunge aliyezaa na Mwenyekiti Mbowe nani aliwahi kumsikia katika platform yoyote ya siasa. Ukweli ni kwamba si Viti Maalum wa CHADEMA tu hata wa CCM wengi mazingira yao ni ubunge ni wa chupi

Are you sure??Ulikuwepo wakilala na huyo Zitto?Au kwa vile anamuona anuwezo fulani akamconvince kuingia kwenye siasa?Tusipende kunyooshea watu vidole ilhali hatujui undani wa jambo lake.

Bado kinda la Celine Kombani kadhalilisha Wanawake na Tulia hatoki kwenye hilo lazima atuambie yeye ni jinsia gani
 
Punguza uwongo kijana uko na watu wa historia umesahau ziara ya kwanza ya mbowe pale udsm chuoni iliwaibua mdee na zito na vijana wengine hii ni kazi ya mbowe
 
Jibu lipo wazi kwa mtazamo huu. Kuwa Mjumbe wa .... kabla ya uchaguzi aliingiaje, Kuwa kwenye katiba alichaguliwaje, mbunge wa kuteuliwa je ina maana na yeye anaungana na mtoto wa kobani kudhihirisha kuwa ubunge wa chama tawala uko hivyo ila wanafikiri na vyama vingine vipo kama wao???????? Swali.

Na hasa ukizingatia kisheria na kikatiba hakustahili kuwa mwanachama wa chama cha siasa atuambie kama na yeye aliitwa Baby????
 
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na mbunge mmoja wa CCM kuwa wanapewa viti hivyo kwa kuwa na mahusiano na viongozi wao wa juu.

Wabunge hao waliomba muongozo kwa naibu spika lakini hawakusikilizwa ndipo waliposimama wote na naibu spika kuwataka kukaa chini na ndipo kulipoibuka sekeseke la wabunge hao na kuamua kususia kikao hicho cha bunge asubuhi hii na kutoka nnje huku wakiahidi kuja na tamko kali kuhusu udhalilishaji waliofanyiwa huku naibu spika tulia akifurahia tukio hilo

Msikilize hapa Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake CHADEMA, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge wanawake wa Ukawa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga kuzungumza bungeni kuwa wabunge wa CHADEMA ili wapate ubunge wa viti maalumu lazima wawe na mahusiano na viongozi wao.

pengine huyo jamaa alikuwa akirejea akina rose kamili, joyce nkya, aliyekuwa christina lissu, grace na wengine wengi.
 
JAMANI KWANI UONGO HUO? SI UKWELI? Huo mara ngapi tumewasikia wanachadema Wakilalamika hawakuridhika na uteuaji wa Viti Maalumu? Au kwa vile kasema Mwana CCM basi ndo shidaaa!! Ila ndo ukweli huezi kuoga sura mbaya anateuliwa tena wengine wanaenda wanaongea kisister Du kabisa
 
Alipitia nina ushahidi kwa kuwa wakati huo wanawake walikuwa wanakimbizana na ccm tu, chadema ilionekana ni upotevu wa maadili kwa watoto wa kike, nimekuwa nae na niliyaona mengi kwenye harakati zake hizo.. Hta Lisu kule singida alikosa mtu wa kumuweka ndio akamuomba dada ake kwa kuwa wamama wote wana siasa waliamini ccm, jamani acheni kushabikia jambo usilo lijua.

Joyce Mukya kwenye mchujo wa viti maalumu wa bunge hili lilopo kupitia CHADEMA alipitia mchujo kupitia Wilaya ipi na mkoa upi? Weka hapa
 
Wanawake ni Mama zetu katika hali ya uwiano wanapaswa kuheshimiwa wakati wote bila kujali itikadi zetu,iwe ndani au nje ya bunge kuwatolea maneno yasiyofaa ni ukosefu wa maadili itumike lugha ya busara kwa mbunge aliyetoa kauli ile kuwataka radhi wabunge wale wa UKAWA.
 
Tulia ilibidi awasikilize maana kweli wamedhalilishwa. Yeye ni mwanamke naye ajue kuwa huku mitaani wanasema naye ni mkumbo huo huo! Ilibidi aungane nao kukemea udhalilishaji huo!

Nadhani kile kiti cha spika kinawalewesha wanaokikalia. Huyo Tulia hajiamini na anaogopa kuwaudhi wakubwa wake wa ccm. Kwa hiyo hawezi kutenda haki. Alikuwa na uwezo wa kuamrisha huyo aliyewatukana kufuta kauli yake.au amtoe nje. Hapo angetenda haki.
 
Are you sure??Ulikuwepo wakilala na huyo Zitto?Au kwa vile anamuona anuwezo fulani akamconvince kuingia kwenye siasa?Tusipende kunyooshea watu vidole ilhali hatujui undani wa jambo lake.

Bado kinda la Celine Kombani kadhalilisha Wanawake na Tulia hatoki kwenye hilo lazima atuambie yeye ni jinsia gani

Of course naweza nisiwe na ushahidi wa dhahiri lakini ushahidi wa kimazingira unaonesha hivyo. Hivi jamani mpaka mtu anazaa mtoto bado tu hatutaki kukubali? Mpaka zile sms za Amina Chifupa (Mungu Amrehemu huko alipo) Hivi bado hatuoni tu. Hata nchi yetu kuwa masikini hakuna ushahidi unaonesha rasilimali zinaliwa lakini kwani hatujui? Ikifika mahali tukausema ukweli bila kuoneana haya ndipo tutatoka hapa tulipo. Mazingira yanaashiria na mpaka hilo limesemwa bungeni leo ujue limefika pabaya. Kama ikifikia tunakuwa na mashaka na viongozi wetu namna hii tutawaamini kwa lipi la kutuonesha njia?
 
Joyce Mukya kwenye mchujo wa viti maalumu wa bunge hili lilopo kupitia CHADEMA alipitia mchujo kupitia Wilaya ipi na mkoa upi? Weka hapa
Wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha katika ukumbi wa New Safari hotel mie nikiwa mmoja wa wajumbe nilie mpigia kura.
 
HAHAHAHAAHA,halafu jioni ama kesho watarudi tenda,waaafuta sababu ya kudoji,hahahahaha

Wewe unaona sawa wanawake wenzako kudhalilishwa?
Kweli Trump alikuwa sawa kwa upande wa wanawake wa ccm na miccm yote kuwa daima bongo zenu ni kwa ajili ya kuwaza ngono tu.
 
Taarifa za hivi punde kutoka bungeni, wabunge hao wamezungukwa na watu wa Usalama kwenye ofisi za KUB ambako walikuwa wanaendelea na kikao baada ya kutoka bungeni. Wanausalama hao ni wa kiume lakini ndo wameanza kuwaita WPs kupanda ghorofa ya pili ziliko ofisi hizo. Ni mwendelezo wa sakata lililoanza jana hadi NS akaagiza askari wamtoe Mbunge wa Ukonga, Waitara.

Maelezo mafupi juu ya hasa kilichotokea jana bungeni kuhusu Mbunge wetu Waitara Mwita Mwikabwe akatolewa nje kwa amri ya Naibu Spika. Kisha yatafuatiwa na maelezo (katika sauti) ya kina kutoka kwa Mbunge mwenyewe Ndugu Waitara alipozungumza na waandishi wa habari kuelezea kwa ufasaha kilichotokea jana bungeni ambao ni mwendelezo wa 'maelekezo' ya namna ya kuliendesha bunge kwa kudhibiti sauti na nguvu za hoja kutoka UKAWA kwa manufaa ya CCM na Serikali yake.

Jana mara baada ya Bunge kurejea session ya jioni Naibu Spika alionekana kuyumba katika kulisimamia bunge kwa kuruhusu matusi, lugha za kejeli na upotoshaji kutoka kwa wabunge wa CCM walionekana kupangwa kimkakati huku yeye akizuia juhudi zote za Wabunge wa UKAWA waliokuwa wakitumia haki yao ya kikanuni kuomba miongozo, kutaka kutoa taarifa na kuhusu utaratibu ili baadhi ya mambo yatolewe ufafanuzi. Jambo ambalo ni mojawapo ya misingi ya uendeshaji na usimamiaji wa mabunge.

Alianza Mbunge wa CCM kutoka Zanzibar akisema kuwa Wabunge wa Upinzani (UKAWA) wanaharishia mdomoni badala ya nyuma.

Naibu Spika hakuchukua hatua yoyote kama ambavyo hata akili ya kawaida ingetarajia ifanyike hivyo. Akapiga kimya huku akizuia wabunge wetu kuhoji.

Mbunge wa Ulanga ambaye ni mtoto wa marehemu Celina Kombani naye akaendeleza lugha za kejeli na kupotosha. Akasema eti Wabunge wa UKAWA wamerudi Bungeni kuchangia baada ya yeye kumshauri shemeji yake Mbowe (Freeman, KUB) ili aturuhusu. Kwa hiyo wako pale bungeni kwa sababu yake.

Akaendelea kudai kuwa sifa ya Wabunge wanawake wa Chadema kupata Ubunge ni kila mtu lazima aitwe Baby kabla ya kupata Ubunge viti maalum.

Akaendelea kudai tena kwamba Wabunge wetu wanafanya vitendo vya kishoga.

Wabunge wetu kadhaa wakasimama kuomba miongozo, kutoa taarifa na kuomba utaratibu. Lakini kiti hakikujali. Hakikutoa nafasi hiyo.

Baada ya kuwepo kwa kelele nyingi na baadae kukawa na utetezi kutoka kwa Jenista Mhagama kwamba hata wabunge wa upinzani walikuwa wamesema matusi, kelele zikawa nyingi zaidi, ndipo NS akamtaka mwandishi wa Hansard afute maneno machafu yote.

Akafuata Mbunge mwingine wa CCM kutoka Kigoma, Kasulu akasema yeye ana ushahidi kwamba Ndugu Lissu ana jalada la ugonjwa Hospitali ya Milembe!

Wabunge wetu ambao hadi hatua hiyo walikuwa wamenyimwa nafasi ya kuzungumza, wakaendelea kupiga kelele na kusimama.

NS akamtaka afute au adhibitishe kauli yake baada ya Lissu kuomba muongozo. Yule Mbunge wa CCM badala ya kufuta maneno akawa anazunguka zunguka mtu ooh mara ni maneno yako mtaani, mara hivi mara vile.

Baada ya kuona kiti kinazidi kuyumba, ama kwa makusudi au kwa kujua kinachofanya, Mbunge wetu Waitara akalazimika kusimama akimtaka yule Mbunge wa CCM afute kauli zake hizo za upotoshaji. Ndipo akafuta.

Akafuta lakini tena akasema Mnyika anaumwa na anajua yuko Mhimbili anatibiwa.

Kitendo hicho cha yule mbunge kuendelea kutoa lugha za kejeli, kupotosha na kuzungumza mambo ambayo hawezi kuthibitisha huku kiti kikiwa kimya, kikamfanya Waitara asogee kwake ili kuwa karibu naye.

Baada ya kuona hivyo Naibu Spika akaagiza askari wamtoe nje, kama ambavyo inaonekana kwenye picha inayosambaa.

Hicho kilichotokea jana jioni, ndiyo mwendelezo wake wa asubuhi hii ambapo wabunge wanawake wa Ukawa wametolewa bungeni baada ya kutaka ufafanuzi na hatua dhidi ya hizo kauli za udhalilishaji zilizotolewa jana, mbele ya Naibu Spika ambaye naye ni Mbunge wa Viti Maalum.

Wabunge hao wameshazungumza na wanahabari kuelezea suala hilo na sasa wanaendelea na kikao. Tusubiri maamuzi ya kikao hicho.

Lakini jambo la kushangaza sana ni kwamba wakati lugha za kudhalilisha zikitolewa jana, si tu NS alikuwa anaonekana kunyamazia lkn pia viongozi wa Umoja wa Wabunge Wanawake (wote) walikuwa wanapiga makofi.

Hayo ni mbali na majibu ya mmoja wa Manaibu Waziri aliyesema jana bungeni kuwa anaweza 'kuwatia/kuwapiga za uso' wabunge wa upinzani, kisa walihoji alivyokuwa akijibu hoja zao bungeni

Tumaini Makene
 
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na mbunge mmoja wa CCM kuwa wanapewa viti hivyo kwa kuwa na mahusiano na viongozi wao wa juu.

Wabunge hao waliomba muongozo kwa naibu spika lakini hawakusikilizwa ndipo waliposimama wote na naibu spika kuwataka kukaa chini na ndipo kulipoibuka sekeseke la wabunge hao na kuamua kususia kikao hicho cha bunge asubuhi hii na kutoka nnje huku wakiahidi kuja na tamko kali kuhusu udhalilishaji waliofanyiwa huku naibu spika tulia akifurahia tukio hilo

Msikilize hapa Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake CHADEMA, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge wanawake wa Ukawa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga kuzungumza bungeni kuwa wabunge wa CHADEMA ili wapate ubunge wa viti maalumu lazima wawe na mahusiano na viongozi wao.
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na mbunge mmoja wa CCM kuwa wanapewa viti hivyo kwa kuwa na mahusiano na viongozi wao wa juu.

Wabunge hao waliomba muongozo kwa naibu spika lakini hawakusikilizwa ndipo waliposimama wote na naibu spika kuwataka kukaa chini na ndipo kulipoibuka sekeseke la wabunge hao na kuamua kususia kikao hicho cha bunge asubuhi hii na kutoka nnje huku wakiahidi kuja na tamko kali kuhusu udhalilishaji waliofanyiwa huku naibu spika tulia akifurahia tukio hilo

Msikilize hapa Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake CHADEMA, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge wanawake wa Ukawa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga kuzungumza bungeni kuwa wabunge wa CHADEMA ili wapate ubunge wa viti maalumu lazima wawe na mahusiano na viongozi wao.

Mahusiano si lazima ulale na mtu kwani yanaweza kuwa ya undugu ama urafiki wa karibu. Siku ile Said Kubenea alipokuwa anasema wamevuliwa chupi mbona hawakutoka nje?
 
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na mbunge mmoja wa CCM kuwa wanapewa viti hivyo kwa kuwa na mahusiano na viongozi wao wa juu.

Wabunge hao waliomba muongozo kwa naibu spika lakini hawakusikilizwa ndipo waliposimama wote na naibu spika kuwataka kukaa chini na ndipo kulipoibuka sekeseke la wabunge hao na kuamua kususia kikao hicho cha bunge asubuhi hii na kutoka nnje huku wakiahidi kuja na tamko kali kuhusu udhalilishaji waliofanyiwa huku naibu spika tulia akifurahia tukio hilo

Msikilize hapa Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja Wanawake CHADEMA, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge wanawake wa Ukawa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga kuzungumza bungeni kuwa wabunge wa CHADEMA ili wapate ubunge wa viti maalumu lazima wawe na mahusiano na viongozi wao.

Hizo ndio dalili za mtu kuishiwa sera kichwani anabaki kutukana wenzie. Akamuulize Kamata alitoa nini kwa nani ndio akapata ubunge viti maalum. Shame on him.
 
Jana Lissu katukanwa kwamba ni kichaa, leo tena mwingine anawadhalilidhs wanawake!
 
Back
Top Bottom