Naibu spika aenda Samunge kupata kikombe!

Cha ajabu hapo nini?

we unadhani kwa nini hii habari inatangazwa na vyombo vya habari?naamini viongozi wetu huenda hospitali mara kwa mara lakini sio ajabu.
Ajabu ni kwamba kiongozi mwenye heshima kuamini mambo ya 'ulozi'
sasa akishakunywa kikombe kesho ataleta muswada wa bajeti ya kumsuport babu!
 
Ni kweli unaona wanaozidiwa? Mbona sisi hatuwaoni!! Mimi nimeshuhudia mgonjwa wa kansa ambae kila akila alikuwa anatapika baada ya kupata kikombe kapata nafuu na sasa anakula kila kitu na anaendelea vizuri. Wagonjwa wa sukari wanne wanaendelea vizuri sukari inashuka kila siku. Pia lazima ujue kuwa anaetibu sio babu ni Mungu. Babu ni mtumishi tu wa Mungu, sifa na utukufu tunamrudishia Mungu sio babu!!!
mkuu wewe bado tu unaamini babu anatibu?duh kazi tunayo hapa tz.hawa wanaopona wako wapi kwa sababu mimi naona waliozidiwa na wafu kutoka samunge.
 
kweli kabisa huu ni upuzi tena mkubwa. hivi kama wote waliokunywa kikombe cha babu wakiota mikia itakuwaje? kuna kiongozi atakayepona kweli? tutaongozwa na mashetani, tutakimbiana
 
Mwanzoni Babu alisema UKIMWI unapona baada ya cku 7, hata ukikuta positive we peta tu maana VVU wataisha polepole, waioamini na kuacha ARV baada ya kupata kikombe wengi wako taabani na baadhi wamekufa,

then babu akaja na instructions mpya kuwa watu wasiache dawa mpaka daktari atakapothibitisha, ukweli hakuna hata kesi moja ya UKIMWI iliyothibitika kisayansi kuwa imepona baada ya kupata kikombe, ingawa kuna wanaothibitishwa na waandishi wa habari (wapiga debe wa kikombe)
 
Mkuu wewe unapiga tarumbeta kwa sababu sio mgonjwa, wenzako wagonjwa wanapona baada ya kuhangaika kwa muda mrefu. Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
Wewe endelea kuhesabu wanaokufa kutoka Samunge wakati wale wanaokufa kutoka kwenye hospitali zetu za Muhimbili etc. huwaoni.

Wewe una uhakika na hayo unayoyasema au unaongea tu? Yaani mpaka leo watu wote waliokwenda huko na kunywa kikombe aidha ni wagonjwa mahututi na wengine wamekufa. Hata waathirika wa UKIMWI waliokunywa kikombe cha babu na kusema wamepona baada ya muda aliowaambia babu wamekwenda kupima lakini wote ni HIV positive tu. Kinachoendelea Loliondo ni kazi ya roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani, 1Tim 4:1. Kwa hiyo wote ambao hamjaenda huko shutukeni mapema.
 
Ni kweli unaona wanaozidiwa? Mbona sisi hatuwaoni!! Mimi nimeshuhudia mgonjwa wa kansa ambae kila akila alikuwa anatapika baada ya kupata kikombe kapata nafuu na sasa anakula kila kitu na anaendelea vizuri. Wagonjwa wa sukari wanne wanaendelea vizuri sukari inashuka kila siku. Pia lazima ujue kuwa anaetibu sio babu ni Mungu. Babu ni mtumishi tu wa Mungu, sifa na utukufu tunamrudishia Mungu sio babu!!!

Kama babu ni mtumishi wa mungu basi ni mtumishi wa mungu wa dunia hii, na si Mungu aliye hai ambaye amejifunua kikamilifu katika neno lake na si katika ndoto za babu wa Loliondo ajenti mkubwa wa ibilisi.
 
Tumwachie yote Mungu kwani mashuhuda wapo. Mfalme hatambuliki kwao bali hutambulika nje na kwao.Wakati Yesu alipofufuka wayahudi hawakuamini katakata walidai wanadanganywa na mwili umeibiwa. Tusishangae Mataifa ya mbali kuja kupata tiba hali tuliopo karibu na huduma hii tunapuuza na kusema sio tiba ya kweli. Mwenye masikio na asikie na asiyekuwa nayo pole sana. Mungu azidi kututangulia kila tuendako najua majuto yaja baadae.
 
Back
Top Bottom