Naibu spika aenda Samunge kupata kikombe!

Imani yao inawatuma kwenda huko, hata hivyo swali lako ni pana sana. Binafsi bila kuingilia imani ya mtu naamini kuwa tuna matatizo na sekta yetu ya afya na wenye jukumu la kuiboresha wameiingiza samunge kama mkakati wao wa kuboresha afya za watz. Hawana akili timamu na hivi ndivyo tulivyo:censored:
 
Hivi hawa viongozi wetu wana akili nzuri kweli?

Mkuu wewe unapiga tarumbeta kwa sababu sio mgonjwa, wenzako wagonjwa wanapona baada ya kuhangaika kwa muda mrefu. Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
Wewe endelea kuhesabu wanaokufa kutoka Samunge wakati wale wanaokufa kutoka kwenye hospitali zetu za Muhimbili etc. huwaoni.

mkuu wewe bado tu unaamini babu anatibu?duh kazi tunayo hapa tz.hawa wanaopona wako wapi kwa sababu mimi naona waliozidiwa na wafu kutoka samunge.
 
Viongozi nao ni binadamu kama walivyo wengine. Kumbuka kuna magonjwa hayatibiki katika hospitali zetu option iliyopatikana inabidi iwe utilised effectively.
 
Viongozi nao ni binadamu kama walivyo wengine. Kumbuka kuna magonjwa hayatibiki katika hospitali zetu option iliyopatikana inabidi iwe utilised effectively.
ina maana wanavyoenda clinic hawaelezwi maana ya magonjwa sugu na mwenendo wa tiba zake?kama kuna tiba mpya naamini ni lazima ifuate misingi iliyopo ili itambulike kama tiba.viongozi walitakiwa(pamoja na ubinadamu wao) wasubiri dawa ithibitishwe kabla ya kukimbilia kikombe.
 
Job Ndugai
 
Attachments

  • Ndugai.jpg
    Ndugai.jpg
    4.1 KB · Views: 33
Kama babu wa samunge anaweza kuwaingiza 'kingi' unadhani kuna siku viongozi hawa watasign mikataba ya maana ya madini,maji au umeme?
 
Back
Top Bottom