Naibu kanyegeka

Bila video hii sireDi ni hadithi tu
 
Lakin nyege si zipo jamani au,? Ni kosa kuimba uhalisia [emoji2]
 
Ni mzuri kweli N/spika,beauty with brain. Ameolewa? Kiuno hichooo
 
Nasikia ulisharuhusiwa au inakuwaje mdau? Bado umezuiwa?
 
Lema ni too much sasa...kama mwanamke vileee...hana kaba koo..
 


Huyu Lema kweli ni mbinafsi na hafai kwa taifa....hivi mtu unahuzunikaje kuona mwenzio anashikwa na nyege huku akinyegeka hadharani? Si hoja kwa Mh. Tulia kushikwa na nyege, yeye ni kiumbe hai aliye na matamanio kama yake Mh. Lema....mbona wanyama nao wanashikwa na nyege na kunyegeka hauzuniki. Mwacheni Dr. Tulia anyegeke jamani, ana stress nyingi sana toka bungeni.
 
Sijaona kosa hapo.


Kosa lipo, wananyegeka ila hawajavua nguo tuwaone wakinyegeka live. Hili ni kosa kwani huwezi kusheherekea nyege kwa kucheza muziki tu, unawakasirisha mzee dushe na bi papuchi.
 
Yeye na mke wake wamehuzunika kwanini hawakunyegezana wakalala kwa furaha badala ya huzuni?

Basi stend ya Nyegezi Mwanza ibadilishwe jina maana hatutaki viongozi wetu wahuzunike.
 
Yeye na mke wake wamehuzunika kwanini hawakunyegezana wakalala kwa furaha badala ya huzuni?

Basi stend ya Nyegezi Mwanza ibadilishwe jina maana hatutaki viongozi wetu wahuzunike.
[emoji23][emoji23][emoji23]na KUNDUchi pia
 
Msimlaumu naibu spika wala wale wabuge. Hali halisi ni kwamba waandaaji wa bonanza hilo ndio walikosea. Wakati kila nchi ilipokuwa inapita na maandamano DJ anaweka wimbo anaoamini ni wa nchi ile. Sasa ukiangalia vizuri video ile DJ aliuchomekea wimbo huo haramu kwetu, ila kule DJ hajui kama umefungiwa, na wabunge wetu walikuwa hawana jinsi ya kumwamrisha DJ hauzime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…