Mwanamke mjinga huiharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, yaani kinachowafanya mfurahiane ktk mapenzi wewe ndo unakificha! wautaka ukimwi wewe, hujui sisi wanaume ni watoto wakubwa?. Issue kama hii ulipaswa um-PM AshaDii mapemaaaaaaa, shida zako zingekuwa zimeisha zamaaaaaaaani! Saa hizi usikute pengine mngekuwa zenu bagamoyoooooo mnajisanua tu na king'asti wako hotelini roho zenu nyeupeeeeeeee miguno tu ya mahaba na mpenzio kila dk iendayo!