Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

kamarah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
943
1,916
Habari za usiku JF;

Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO.

Nitawaletea updates za safari nzima kutoka Mwanza Mpaka Mtwara. Kesho Naanza safari.

Wakongwe wa kusafiria papuchi nipeni uzoefu wa game za mbali kama hizi, na pia kwa wazoefu wa hawa mabinti wa kimakonde nipeni hits mbili tatu ili nisije kuonekana mshamba, mana nasikia kwa viuno ni balaah!!

Karibuni!!!!

UPDATES:

Nipo Ndani ya Mtwara, ila hali ya hewa sio nzuri kwa wafanyao maisha ya kawaida ila kwa kugegedana ni favourable kabisa.

Ngoja nipumzike kwanza
 
Habari za usiku JF;

Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO.

Nitawaletea updates za safari nzima kutoka Mwanza Mpaka Mtwara. Kesho Naanza safari.

Wakongwe wa kusafiria papuchi nipeni uzoefu wa game za mbali kama hizi, na pia kwa wazoefu wa hawa mabinti wa kimakonde nipeni hits mbili tatu ili nisije kuonekana mshamba, mana nasikia kwa viuno ni balaah!!

Karibuni!!!!
Hakikisha una afya ya kutosha maana si mchezo!
 
una uhakika unaenda kukutana na mwanamke?
ukute namba uliyopewa na mwingine jf unachat na mwingine,kwenye simu unaongea na mwingine unaenda kukutana na mwingine!
pwani uko,mkuu take care!
 
Mkuu huyo sijampata jf, but by the way asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom