Nahtaji msaada wa kudaiveji lain

Nahtaji msaada wa kudaiveji lain

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Nahitaji jinsi ya kunasa mawasiliano ya mtu wangu. Jins gan ya kuweza kuiset simu yangu ili niweze kusikia maongez yake? Tafadhar sana anae weza anipe msaada
 
Haiwezekani ku Divert na kusikia mawasiliano ya mwingine! Mkuu!

Suala hilo hali exist katika Dunia ya sasa ! Mkuu!

Be faithfull to you'r partner!
 
Back
Top Bottom