Nahodha wa Starz Ageukia Duka

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
cannavaro dukani2.jpg
 
Maisha ndio yalivyo, bora ya hivyo kuliko wengine wamegeuka kuwa ombaomba.
 
Nafikiri ni khatua kubwa kwake kuwa mjasiriamali sisi wa muda kidogo tumeshuhudia wachezaji wa tanzania jinsi walivyo dhalilika kuanzia almarhum mambosasa na adamu sabu haiingii akilini.Wapo wengine wanaishi maisha ya ajabu utawakuta leaders club wanasubiri kupiga mizinga kwenye bonanza.
 

Alizidisha Mno Kuhonga Hovyo Mademu Wa Vyuo Hasa Vile Viwili Vya Ilala Shariff Shamba Huku Akitembea Mno Na Waandishi Wa Habari Za Michezo Wa Kike Badala Ya Kujijenga Zaidi Kwa Kufahamu Kuwa Kuna Maisha Baada Ya Mpira. Kuweka Hiyo Picha Ndiko KUMTAFANYA Watu WAMDHARAU Kwani Kama Ni Mchezaji Wa Kitanzania Ambaye Angekuwa Anafuata Nyayo Kwa UTAJIRI Baada Ya Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu, Mrisho Ngassa Na Juma Kaseja Basi Angekuwa Ni Huyu Nadir Haroub " Cannavaro ". Binafsi Ameniangusha Sana Japo Tulijitahidi Mno Kumuasa Lakini " K " Ina Nguvu Kushinda Sisi Wenye " VIFARU " Na " Mizinga " Yake Miwili.
 
Back
Top Bottom