Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 302
- 647
Raphinha ameendelea kuonyesha umuhimu wake ndani ya Barcelona, baada ya kuwa sehemu ya kundi la manahodha msimu uliopita na sasa kuteuliwa kuwa nahodha wa kwanza wa timu hiyo msimu wa 2026/27.
Kocha Hansi Flick ndiye aliyemchagua Raphinha kuwa nahodha wa kwanza, huku Pedri akiwa nahodha wa pili.
Msimu wa 2024/25 ulikuwa bora kwa Raphinha, akifunga mabao 34 na kutoa assists 25 katika michezo 56, huku akiwa miongoni mwa wachezaji muhimu zaidi wa Barcelona.
Katika msimu huu, Raphinha ameanza kwa kiwango kizuri zaidi, akifunga mabao sita katika michezo ya mwanzo ya La Liga, huku pia akipewa jukumu kubwa la kuongoza kikosi ndani na nje ya uwanja.