nahitji msaada!

Ofisa mjumbe

Member
Nov 22, 2011
24
5
mimi ni mkulima na mfugaji niliamua kujikita huko baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya atadi za kazi 'kikwzo ninachokutananacho ni hawa wanaojiita wanamazingira ,nifanyeje shughuli zangu za kilimo na ufugaji ili nikwepe UHARIBIFU WA MAZINGIRA?
 
Zingatia kanuni za KILIMO BORA NA CHA KISASA.Inamaana kweye mafunzo yako hawajakufundisha hizo.
 
hivi silaha kama bastola, AK47 nk.zinapatikana duka gani hapa tanzania? kwa maana nimesikia leo magari yametekwa kiulaini kutoka tbr. NAHITAJI MOJA YA KUNUNUA.
 
Back
Top Bottom