Mkuu, ili tuweze kukusaidia unge tuambia bajeti yako ikoje ili tuweze kukushauri kulingana na kiasi cha pesa ulicho nacho....
Mkuu, hata siku moja usifanye kitu ulicho kifanya cha kuwaeleza wafanya biashara kiwango chako cha elimu, wao wako kibiashara zaidi, wanaweza kutumia mapungufu yako kujinufaisha kibiashara...
Siku nyingine ukihitaji vitu kama hivi unapaswa kumtafuta mtu ambaye anaujuzi navyo, ambaye unaweza kuenda nae kuchagua...