Nahitaji wireless ps game pads kwaajili ya Computer

JZHOELO

Senior Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
196
Reaction score
363
wakuu kwa mtu yeyote ambae ana wireless game pad za computer mpya tafadhali tuwasliane,nipo mwanza..
 
Ni ww tulikutana pale Mwanza Hotel kwenye duka la Computa la wahindi, jamaa akakuelekeza duka jingine wanalouza cd games nk?

Naamini unatafuta Wireless Game Pads za Compyuta zinazofanana na za PS.
 
Unataka Genuine au Mchina mwenye afadhali kidogo?
 
Unaweza kupata 2pcs kwa 50usd joystic zenye kiwango cha kawaida?
 
Ni ww tulikutana pale Mwanza Hotel kwenye duka la Computa la wahindi, jamaa akakuelekeza duka jingine wanalouza cd games nk?

Naamini unatafuta Wireless Game Pads za Compyuta zinazofanana na za PS.

sawasawa kaka, aixee sijui umenigunduaje, ila no worriez nataka ps style, ila kuna sehemu nimeona ebay converter za ps2-3 unazoweza kutumia ps gamepads kwenye pc literary without any probz....
 
Kama umeona ebay basi hapo umemaliza Tatizo lako mkuu. Kama vipi poa mkuu
 
wakuu kwa mtu yeyote ambae ana wireless game pad za computer mpya tafadhali tuwasliane,nipo mwanza..

Kuna jamaa anayo mpya anauza 30,000 ila ni moja. Na ina vibration kila kitu
 
Back
Top Bottom