Nahitaji Wire wa fensi (Seng'enge)

Nahitaji Wire wa fensi (Seng'enge)

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,098
Reaction score
437
Habari,

Nahitaji kujua gharama ya wire husika hapo juu na pia urefu na upana wa huo wire (Namaanisha zile wire za fensi zenye vibox vidogo vidogo ambavo vinazuia hata kuku kuingia).

Nawasilisha
 
mwenye ufahamu wowote atoe msaada ndugu zangu
 
Ila mkuu vitu vingine Mbona havihitaji hata kuuliza humu Jf. Au unakoishi huna access na hardware?

Anyways, unayotaka wewe inaitwa chain link fence siyo seng'eng'e!! Kwa dar inauzwa around 85 elfu hadi 90. Urefu wake kwa roll moja nimesahau japo nadhani haizid 15m.

Kama upo dar Nenda JEJE kabebe kwa bei ya jumla
 
Ahsante kwa msaada wako kaka ila ndio maana Jf ipo ambayo ni msaada kwa kila mtu. Na ndio mana watu wako free kuuliza chochte bila kukejeliwa.

Bei nliotajiwa nnapoishi ni around Laki 1 na 10 na ndio mana nimeuliza.

Thanks anyway
 
sio kwel kwamba kila kitu uulize humu jf...mi nmenunua juz tu hapa kwa sh 70,000 mita 15 npo iringa
 
Tunatofautiana ndg na ndio maana katika maisha kuna kusaidiana. So kwa akili yako ulitaka nizunguke Dar nzima nijue tofauti ya bei au? Huku nilipo ni around 110,000 while wengine wanasema ni 65,000. Hauoni kama itanisaidia kujua wapi wnaauza cheap ili nikanunue kama 3 mana huku ni 330,000 kwa hizo 3 while kwingine ni 195,000 kwa hizo hizo 3.

Think kwanza na si kushangilia hoja
 
Ahsante kwa msaada wako kaka ila ndio maana Jf ipo ambayo ni msaada kwa kila mtu. Na ndio mana watu wako free kuuliza chochte bila kukejeliwa.

Bei nliotajiwa nnapoishi ni around Laki 1 na 10 na ndio mana nimeuliza.

Thanks anyway

Fine mkuu, all in all tatizo lishapata ufumbuzi so tabu hakuna kiongozi!!
 
Ila mkuu vitu vingine Mbona havihitaji hata kuuliza humu Jf. Au unakoishi huna access na hardware?

Anyways, unayotaka wewe inaitwa chain link fence siyo seng'eng'e!! Kwa dar inauzwa around 85 elfu hadi 90. Urefu wake kwa roll moja nimesahau japo nadhani haizid 15m.

Kama upo dar Nenda JEJE kabebe kwa bei ya jumla
Unamshangaa huyu!!kuna mmoja last week aliweka hapa tangazo la kuuza Kuku Jogoo wake mmoja.
 
Ila mkuu vitu vingine Mbona havihitaji hata kuuliza humu Jf. Au unakoishi huna access na hardware?

Anyways, unayotaka wewe inaitwa chain link fence siyo seng'eng'e!! Kwa dar inauzwa around 85 elfu hadi 90. Urefu wake kwa roll moja nimesahau japo nadhani haizid 15m.

Kama upo dar Nenda JEJE kabebe kwa bei ya jumla
Mkuu haitwi senyeng'e hua inaitwa fance wire na ina kuwa na urefu wa 15mtrs na upana wa 6ft yaani (futi sita) na inategemea na m.l (yaani milimita) kama ni 3mm ni 85000/=hadi 95000/= hapo inategemea na duka!!na kama ni 2.5ml ni 65000/= mpaka75000/=
 
Mkuu kuna ambazo zinazidi 3mm na kama zipo ni bei gani, kuna ambazo zina rangi?
 
Mkuu haitwi senyeng'e hua inaitwa fance wire na ina kuwa na urefu wa 15mtrs na upana wa 6ft yaani (futi sita) na inategemea na m.l (yaani milimita) kama ni 3mm ni 85000/=hadi 95000/= hapo inategemea na duka!!na kama ni 2.5ml ni 65000/= mpaka75000/=
fance wire = fence wire, kiswahili chake ni nini??
na senyeng'e kiengereza chake ni nini??
 
Vyote sawa kwani tatizo liko wapi hayo ni majina ya mafundi!!ebu nenda dukani waambie unataka fance wire au senyeng'e uone kama sio tafauti!!any way baba yaishe naona wee msomi zaidi!!
 
Mkuu mbona sikuelewi,
Sasa vyote sawa au tofauti??
 
Back
Top Bottom