Nahitaji Mtu wa website design kwa ajilli ya kutengeneza website yangu.
Sharti: 1 awe amshawahi tengeneza website na anipatie links zake niwezeona kazi zake
2. Bei yake iwe inalipika
mwenye ujuzi anipm kwa taarifa zaidi..Natanguliza Shukrani
Ni rahisi sana kufanya kazi za webdsgn ila malipo yake ni huwa juu sana unaonaje ukijifunza na wewe uka jua ila kama umeamua kutafuta mfanyakazi hya npo hapa 0657315394, 0789636092
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.