Nahitaji wateja wadagaa popote walipo

Nahitaji wateja wadagaa popote walipo

Safre

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
273
Reaction score
36
Ndugu zangu, kama mjuavyo tatizo la ajira nchini mwetu. mim ni kijana nipo mwanza nimemaliza chuo mwaka jana nimeanza biashara ya kuuza dagaa miezi minne iliyopita. Tatizo ni kupata wateja wa dagaa hao huwa natuma kwenye magari ya mizigo ya mikoani . Tafadhari yeyote anayeitaji dagaa wa kula au kwa chakula cha kuku. Asanteni
 
njoo dar interchick wanachkua dagaa kwa wingi ni u press order
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom