Uko wapi? Kaa upo Dar nenda Survey baada ya njia ya kwenda Brajec mkono wa kushoto ukitoka UDSM. Ni wastani wa saa 5 hadi 6 unapata. Au nenda Magomeni baada ya Kanisa la Lutheran ukitokea unapoenda Morocco upande wa kushoto kwenye stand ya mpya ya mabasi ya masafa marefu.