Nahitaji wa kushirikiana nae

Cheeranking vevo

New Member
Aug 15, 2020
4
5
Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kwenye maswala ya kufanya issue ya photoshoot na video production.me naweza zaidi photoshoot,ME nna camera nahitaji yeye aweze changia kwenye lens na speedlight ili tuweze kufanya kazi hii pamoja na kugawana kitakachopatikana,maana tasnia hii ina hela isiyokatika na huwezi kosa wateja,na haiwezi pita siku mbili wala tatu hijapata wateja.faida ipo na haina msimu .
Changamoto kwenye kazi hii ni pale mteja anapokuambia nakuja alafu haji
 
Back
Top Bottom