The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
Wapi naweza kupata viti vya plastic kwa bei ya jumla.. either kutoka kwa supplier au manufacturer.
Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.
Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.