kingsize25
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 229
- 369
Salaam wakuu.
Kama heading inavyojieleza hapo nahitaji viti (kununua)vile vya chuma vinavyotumika kwenye shughuli mbali mbali...kama kuna mwenye leads namna au maduka vinapopatikana(dar) nitashukuru