Hahahaaaa ni tube kwa ajili ya kukuza nywele. Hata ukigoogle utapata maelezo mengi tu kuhusu hiyo kitu. Sasa hii ni product ya Nigeria. Mimi siwezi nunua mitandaoni through Amazon nataka kununua manually tu. Umensoma Okyo? Marry Christmas.
Habarini wadau, kama inavyojieleza hapo juu, natafuta hiyo kitu (virgin hair fertilizer) mwenye kujua zinapatikana wapi tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani